Tuesday, September 4, 2012

WAZO JEPESI TOKA KWA WANANCHI JASIRI

CCM ITANGAZE RASMI KUWA HAIPO TAYARI KUWEPO KWA VYAMA VYA UPINZANI VYENYE NGUVU?. KAMA MAUAJI YANAYOFANYIKA NI BAHATI MBAYA BASI WAWE WANAUA VIONGOZI WA CHAMA WANAOVAA MAGWANDA NA SIO KUUA WATU WASIO NA HATIA. KAMA WANACHADEMA TUNASEMA MAUAJI HAYA YALIYOANZA ARUSHA, MOROGORO NA SASA IRINGA TUMEYACHOKA NA HAYAVUMILIKI TENA.... KILA LENYE MWANZO LINA MWISHO... ITS ENOUGH NOW.... KAMA NOMA NA IWE NOMA MPAKA KIELEWEKE.... Watanzania wote tushikane katika hili kupinda dhuluma..... Dk Ulimboka Ni Mungu alimwokoa ila story yote wausika bado ni police... Kwanini police? Je ni maagizo kutoka serikalin kwa wakubwa wao?
na Dotto Mashimba (fb)

No comments:

Post a Comment