Zitto Kabwe · 5,949 like this
2 hours ago · - 108 people like this.
- 42 of 111
- Mwachie slaa kwanza,samahan lakn
- Usisite kugombea urais,ni nafasi ya vijana sasa,anayejaribu kukufananisha ww na Mnyika sijui anatumia vigezo gani,Kazi gani Mnyika amepiga ya kutolewa mfano,maana hata awamu ya ubu...See More
- Kwa uamuzi wa kuachia jimbo ni wa busara na demokrasi ndivyo itakavyo lakin upande wa wabunge kutakuwa na pengo kubwa utakapoacha. Kwa suala la urais wewe bado jipange kwanza kwa hilo.
- Unaitajika sn bungeni kuliko kukimbilia urais sa iv,,,coz tutapunguza jembe umo ndan,,subili uwe ata waziri mkuu,2015,whl Dr.raisi.
- mi nadhani ni vyema kukaa na kutulia kufanya maamuzi na kamati ya chama kama ukichaguliwa kuwakilisha chama kwenye urais sawa lakini kama hutachaguliwa kuwakilisha chama bora ugombee ubunge kuweka ngome imara na sio mpiga debe tu, Mungu bariki amani na mipango ya nchi ya Tanzania. THE CHANGE IS NEAR
- No! No! BIG NO! Mm ni mfuasi wa chadema lakini naapa kama watakupitisha kugombea urais sitokupa kura yangu... Unajua ww pamoja na busara zako bado hujafikia ngazi ya urais- presidential post is only for DR. Slaa, kama si yy Bhaaaasssssss!!!!
- Ccm haiwe kukubari zitto mashine akigombea tu imekula kwao
- Pamoja kiongozi...........viva CHADEMA na Zitto
- Mmm!
- Sawa kaka lakini we still need you,kwan your the source of many development project in our region
- hiyo ndo busura na utawala bora
- Imekaa vyema sana hizi ndizo element za kiongozi bora kutokaa mpaka wakuchoke pamoja na kwamba hatutakuchoka milele utabakia kiongozi hata kama hutagombea, hakika utakumbukwa kwa uongozi uliotukuka ndani ya jimbo na taifa kwa ujumla, hongera sana KINGOZI SHUPAVU, CHADEMA IDUMU DAIMA
- sawa mkubwa nktabiria ushnd cham che2 2mechoka na sela ya ubepari
- Si sahihi kujitangaza kipindi hiki,huu ni wakati wa kujenga nchi na chama chako. Sifa za kuwa rais unazo,ila umepungukiwa na busara na kusoma alama za nyakati. Hata ccm wanapinga watu kutangaza nia ya urais kipindi hiki. TUTAKUPIMA KWA MATENDO
- yani me wakwanza kupiga kusapot hilo mdau tutaftane mdau maana kck hizi uko busy mbaya kila ukisema waja huji tulijenge gurudumu la chadema big up sanaaaa
- Kama chama hakitakuteua kugombea urais,naomba ugombee ubunge jimbo lolote hata kama sio kigoma ila popote alipo mbunge wa ccm ili 2wapunguze bungeni.UKIKOSEKANA BUNGENI NI SAWASAWA NA WABUNGE 50 HAWAPO
- Wewe rais 2 hata wachonge hao si wezi 2
- Nadhani niumuzi mzuri Zito,Kupokezana kijiti nimtindo bora sana wamaelewano naheshima!Heshima uliupa mkoa wakigoma Mungu ndie atakulipa,Naamini unamapungufu lakini yasitufanye tusi...See More
- isije ikawa ndo njia ya kuhama chama
- zito umri bado hajafika wa KUGOMBANIA URAIS
- endelea tu na ubunge urais ni vaz kubwa sana kwako,hujanenepa vzur
- i to be honestly i cant judge this but i am still thinking what the next move of the man, my fellow we need to think deeply and widely why man opt not to hold the throne like he does before.
Big up kwa watanzania wenye malengo na nia ya kuikomboa tanzania. - wewe ndo mkombozi wa wanyonge nakukubali sana mheshimiwa kaza uzi u2komboe wanyonge!
- uamuzi wako wakuto ng'ang'ania madaraka ni mzuri sana ila wana cdm bdo 2nakuhitaji bungeni 2015-2020 uwe waziri then ndo uwaze uraisi
- u are among people who apply the quote 'be the change u want to see in the world' i give my hope to no body but i keep my trust to u. u are the mirror of upcoming leaders.
- Dah!?mshikaji,mbona hivyo?
- Broo acha mwendo kasi aisee,uko kwenye kona,mbona mapema?just vumilia kwenye ubunge kwanza mweshimiwa.tuna kuku bali ila weka pause kaka.
- Mda bado mbona Kamanda subir mpaka 2020,nguvu ya Umma.
- My role model...bravo mh.Zitto.
- Kaka angalia ukienda uko ukapigwa chini kabisa
- huo ndio uongozi thabiti sio kung'ang'ania 2 madalaka!
Keep it up! - da. 2liokuwa 2nawategemea ndo hao ccm washatia mkono wao,kuna kaz kuja kulitoa ili DUDU CCM, haingii akilini hi picha inayoendelea.
- Dah poa kaka mm ngneridhika na uamuzi wako ndio mwanzo wa safari yako mpya na mambo mapya big up kaka.
No comments:
Post a Comment