Hiyo Noah ya kulia anaitumia kutembelea tu ila hizi za kushoto ni daladala za abiria.
daladala ya kwanza
daladala ya pili
daladala ya tatu.
.
Hii nyumba ni yake na ndimo anamoishi, hana nyumba Dar es salaam.
.
.
.
.
Mtaa anaoishi.
.
Hii
ni sehemu ya familia yake kasoro huyo alievaa nguo ya zambarao, ana
watoto saba ambapo wa kwanza amezaliwa miaka ya 70 na huyo mama ndio mke
wake pekee.
CHANZO MILLARDAYO.COM
No comments:
Post a Comment