Wanafunzi wote waliokuwa wame apply nafasi za upolisi kitengo cha tehama usahili utafanyika kuanzia tarehe 17 ,18 na 19 mwezi septemba mwaka huu katika chuo cha (Dar es salam Institute of Techinology )DIT Waombaji wanatakiwa kuja na vyeti vyao vyote.Ukiskia tangazo hili mtaarifu na mwenzako.
kwa maelezo zaidi ingia http://www.policeforce.go.tz/
No comments:
Post a Comment