waandishi wakamilisha maandamano yao kwa nguvu kuanzia chanel 10 hadi viwanja vya jangwani na kubwa lililotokea ni kutoa matamko mbalimbali na pia inasemekana Mh.waziri Nchimbi ametimuliwa katika uwanja huo alipoenda akitaka kuongea na waandishi wa habari walio andamana.
|
Kwa
habari zaidi ungana nasi baadaye
Angalia PICHA Waziri NCHIMBI AKITIMULIWA NA WAANDISHI wa HABARI
Waziri
wa mambo ya Ndani, Dk. Nchimbi nae alivamia hapa na wanahabari wa
jijini Dar es Salaam kumkataa na kuamua kuondolewa na vijana wake kwa
kuhofia usalama wa ke dhidi ya Camera na Kalamu.
|
No comments:
Post a Comment