Rais wa Marekani Barack Obama
amemshtumu mpinzani wake wa chama cha Republican, katika kinyang'anyiro
cha uchaguzi wa urais wa mwezi Novemba Mitt Romney, kwa kubagua sehemu
kubwa ya raia wa Marekani.
Bwana Romney alinaswa kisiri na makachero wa Obama kwenye mkanda wa
video akitoa matamshi ya kuwadharau baaadhi ya wapiga kura wakati wa
hafla ya faragha ya kuchangisha pesa za kampeni katika chama cha
Republican.
Akizungumza kwenye mahojiano na kipindi kimoja cha televisheni nchini Marekani Obama amesema jambo ambalo amejifunza akiwa rais ni kuwatumikia wamarekani wote.
Baada ya kuchaguliwa , alisema , atajitahidi kuwahudumia hata wale ambao hawakumpigia kura.

No comments:
Post a Comment