Bango Hili Linashinikiza Ubalozi Wa Marekani Ufungwe |
Bango hili linasema kwa gharama yoyote Ile hawatakubali Mtume adhalilishwe |
Siku Ya leo Baada Ya Swala Ya Ijumaa Maandamano Yakafanyika Dar Kupinga Kudhalilishwa kwa Mtume. |
Tshirt hii inasema Wako Tayari Kufa Kupinga Mtume Kudhalilishwa |
No comments:
Post a Comment