Waziri mkuu wa Vietnam amewataka wanablogu watatu wanaokashifu serikali yake wapate adhabu kali.
Taarifa inayomnukuu waziri mkuu huyo Nguyen Tan
Dung imewashutumu wanablogu hao kwa kuandika taarifa za kupotosha zenye
uongo na kuwaagiza wafanyakazi wa umma kutozisoma
Wanablogu hao ambao hawajajitambulisha wamekuwa wakichapisha habari kuhusu mvutano wa mamlaka katika nchi hiyo, ufisadi unaowahusisha viongozi wakuu serikalini ambayo vyombo rasmi vya habari haviruhusiwi kuchapisha

No comments:
Post a Comment