- Bwana Yesu Asifiwe!!Karibu ujiunge nasi kusikiliza neno la Mungu inayoendelea hapa jijini Dar es salaam kupitia redio wapo,redio sauti ya injili,redio upendo,www.mwakasege.org,www.kicheko.com na www.sautiyainjili.org.Semina itarushwa live kwanzia saa kumi hadi saa kumi na mbili jioni,kwanzia tarehe 23 September 2012 hadi jumapili tarehe 30 september 2012.Mwambie na mwenzako!Mungu awabariki!!
No comments:
Post a Comment