Hapakutosha ndani ya uwanja wa jamhuri jana usiku,heka heka mwanzo mwisho.
wakazi wa mji wa Morogoro walivyojitokeza kwenye tamasha la Fiesta .
Ni shughuli moja tu juu ya jukwaa la Serengeti Fiesta 2012 .
Mkali
wa R&B Ben Paul akiwaimbisha wakazi wa Morogoro waliojitokeza kwa
wingi kwenye tamasha la Serengeti Fiesta,ndani ya uwanja wa Jamhuri.
Msanii wa bongofleva Linah akitumbuiza jukwaani .
No comments:
Post a Comment