Machinga waleta tafrani Kilombero-Arusha! Ni baada ya kufukuzwa mitaani, waenda eneo waliloahidiwa (opposite na Summit Centre) na kuvunja uzio wa bati na kuanza kusafisha eneo hilo rasmi kuanza biashara zao!
watu wakiwa wanarandaranda karibu na eneo la tukio eneo la summit center na karibia na eneo la kanisa la calvary temple mjini arusha |
ni maeneo ya Kilombero ! Opposite na summit centre palipozungushiwa uzio wa bati zaidi ya miaka kama 5 hivi bila kuendelezwa |
No comments:
Post a Comment