Mtumishi wa Mungu
Mmishenari ALHAJI ADM HAJI kutoka Somalia atafanyaSEMINA KUBWA YA NENO LA MUNGU
KATIKA KANISA LA AMANI SOWETO MOSHI MJINI,
Semina itaanza Jumatatu tarehe 10/09/2012 hadi tarehe 16/09/2012.
Muda ni saa 9:00 alasiri hadi 12:30 jioni.
Huduma ya Ushauri na Maombi itakuwepo kwa siku zote za Semina kuanzia saa 4:00am-12:pm itakayohudumiwa na Pastor.BENJAMIN W.BUKUKU.
Wote mnakaribishwa,waleteni wenye shida na Magonjwa Mbalimbali wataombewa na
kufunguliwa.
Kweli itakuweka huru kwelikweli
No comments:
Post a Comment