LEMA BADO KIPENZI CHA WATU MKONI ARUSHA SHUHUDIA LEO AKITOKEA MAHAKAMANI
lema akiwa kwenye gari ya aina yake leo asubuhi akitoka katika mahakama ya rufaa mjini arusha na alikuwa akishangiliwa nakusukumwa na wananchi wengi waliohudhuria mahakamani hapo kweli bado ni kipenzi cha watu mkoani arusha
No comments:
Post a Comment