Nahodha
wa Simba Juma Kaseja akikabidhiwa Ngao ya hisani kutoka kwa waziri wa
Kazi na Ajira Makongoro Mahanga baada ya ushindi wa jana. Simba
inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager iliichapa Azam mabao matatu kwa mawili katika mchezo wa kusisimua uwanja wa Taifa
No comments:
Post a Comment