aliye muua mwangosi afikishwa mahakamani kwa kufichwa
ndo gari lakifahari lililo mbeba mtuhumiwa
ASkari,
Pacifious Simon akiwa amemwelekezea mtutu wa bomu la machozi Mwandishi
wa Habari wa Channel Ten, Marehemu Daudi Mwangosi , September 2, mwaka
huu. Pacifious jana akifikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani
Iringa na kusomewa shtaka la mauaji. Picha na Maktaba
No comments:
Post a Comment