Wednesday, September 5, 2012

AJABU NA KWELI AFRICA-HII NDIO HELKOPTA INAYOPAA ILIYOTENGENEZWA NA KIJANA WA NIGERIA.

.
Pamoja na kwamba Africa inasifika kwa umasikini lakini ni uhakika kwamba Mungu hajawanyima waafrika kila kitu, nimesema hivyo baada ya kuipata hii stori ya kijana wa Nigeria kutengeneza helikopta inayopaa.
Mubarak Muhammed Abdullahi ambae ana miaka 24 tu toka aanze kupumua, kwa kutumia vifaa vya gari la zamani pamoja na vifaa vya baiskeli amefanikiwa kutengeneza helikopta inayopaa.
Mwanafunzi huyu anaesoma Physics ametumia miezi nane kuitengeneza ambapo ametumia pesa anazozipata kutokana na kuripea simu za mkononi na computer kununua baadhi ya vifaa kuitengeneza hii Helkopta aliyoiita 747.
The 12-meter-long aircraft ambayo haijawahi kupaa zaidi ya futi saba angani imetengenezwa na secondhand 133 horsepower engine ya  Honda Civic na ina viti vya vya gari aina ya Toyota.
Controls are simple, with an ignition button, an accelerator lever to control vertical thrust and a joystick that provides balance and bearing. A camera beneath the chopper connected to a small screen on the dash gives the pilot ground vision, and he communicates via a small transmitter.

No comments:

Post a Comment