TAARIFA YA MAJINA YA WALIO PATA MKOPO KWA WANAVYUO WOTE TANZANIA NA WANAO TEGEMEA KUJIUNGA NA VYUO 2011/2012
NDUGU
WANAVYUO WOTE NA AMBAO MNATEGEMEA KUJIUNGA NA VYUO MWAKA HUU NCHINI
KOTE TUNAPENDA KUWAPA TAARIFA KUWA BODI YA MIKOPO TANZANIA IMETANGAZA
MAJINA YA WANAFUNZI WOTE AMBAO WAMEPATA MKOPO NA KIASI AMBACHO WAMEPEWA
PIA NA WALE AMBAO HAWAKUWEZA KUPATA MKOPO HUO ,TUMEWEKA HAPA PIA ILI
KUWARAHISIHIA NA KUPUNGUZA MSONGAMANO MKUBWA AMBAO UPO KATIKA TOVUTI YA
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA, HIVYO BASI TUNAOMBA MTAZAME HAPA TUMEWEKA
MAJINA YOTE KULINGANA NA HERUFI. KUNA KUNDI A HAWA NI WANAFUNZI WALIO
CHAGULIWA NA KUPATA MKOPO NA KUNDI B HAWA NI WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA
BILA MKOPO . TUNAPENDA KUWAPA HONGERA WALE WOTE AMBAO WAMEPATA MKOPO
HUU NA TUNAWATAKIA MASOMO MEMA,NA KWA WALE AMBAO MAJINAYAO YAPO KUNDI B
PIA TUNAWAPA HONGERA SANA NA WAENDELEE KUSUBIRI NAFASI YA PILI WATAWEZA
KUBAHATIKA KUWA HAPO. TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU NA ASANTENI KWA
USHIRIKIANO WENU.
IMETOLEWA NA
MATUKIO NA WANAVYUO CREW
BOFYA HAPA CHINI KUONA MAJINA HAYO;
No comments:
Post a Comment