Monday, October 1, 2012

ZITO KABWE NA TUNDU LISU WAKIHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA HADHARA KARATU MJINI HIYO JANA

Nasubiri kwa hamu kubwa mkutano wetu wa leo hapa Karatu. Jimbo ambalo CHADEMA imeliongoza vipindi 4 mfululizo. Ngome yetu haswa.(Alisema zito hityo jana kabla ya huo mkutano kuanza)

Na alifanikiwa kuzungumzia yafuatayo kwa ufasaha mkubwa sana akiwa pamoja na Tundu lisu.
*Taarifa ya Kamati ya Ngwilizi(Kutaka taarifa iwekwe Wazi)
*Hoja ya mabilioni yaliyofichwa Uswisi na

*Ulazima wa kuindoa CCM madarakani mwaka 2015 ili CHADEMA iongoze nchi na ktutokomeza umaskini kwa kupambana na ufisai na kukuza uchumi wa vijijini.





No comments:

Post a Comment