Rufaa Ya CCM Sumbawanga Mjini Yatupwa,uchaguzi mdogo wanukia ni CHADEMA WALISHINDA HIYO KESI.
wapenzi wa ccm sumbawanga wakifuatilia rufaa yao leo mapema kwa umakini dhidi ya CHADEMA,na rufaa hiyo imetupiliwa mbali hivyo ni dhahiri uchaguzi mdogo unanukia katika hilo jimbo.
No comments:
Post a Comment