Tuesday, October 23, 2012

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Kikwete Alivyofungua Mkutano Mkuu wa nane wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)Mjini Dodoma,na hotuba yake kali



Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa alipowasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi toka kwa Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012
Nderemo baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012.
Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012
Meza kuu na sehemu za wajumbe katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano huo
Bendi ya muziki ya Vijana Jazz Orchestra 'Wana Pambamoto' ikitumbuiza kwa wimbo maalumu katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma ikiwa ni shamra ya kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012
Wanachama wa umoja wa vijana kutoka nchi rafiki mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na wajumbe baada ya kufungua mkutano huo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa Chipukizi wa UVCCM
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa UVCCM pamoja na ujumbe wa viongozi wa jumuiya za vijana toka nchi mbalimbali marafiki.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment