Huyu
Rick Ross wa bongo alinichekesha sana manake alijitokeza kusikojulikana
wakati watu wana shauku ya kumuona Ross mwenyewe, watu walimshangilia
kweli wakijua ni mwenyewe hata mimi mwenyewe nilikua mbali ikabidi
nimfate lakini nilipokaribia nikajua ni Ross wa bongo.
Mpaka baunsa ilibidi acheke manake yeye ndio aliingizwa mjini kwa asilimia 98 kabisa.
.
.
.
.
KUANZIA HAPA NDIO RICK ROSS MWENYEWE.
.
.
.
gari alilopanda Rick Ross.
.
Kontar wa Choice Fm 102.6 Dsm akifanya interview na Official Dj wa Rick Ross.
.
Millard Ayo na Team Rick Ross.
Inapotokea nafasi huwa napenda itumike vizuri, niko na Official Dj wa Rick Ross.
source millardayo.com
No comments:
Post a Comment