Hili ni tamasha alilolifanya DRC Congo mwimbaji wa muziki wa injili Mtanzania Flora Mbasha, wanajeshi unaowaona wako kwa ajili ya kuhakikisha amani inakuwepo manake nchi hiyo ni moja ya nchi zenye historia ya vita.
Emmanuel Mbasha na Flora Mbasha kwenye ziara ya siku tatu Congo DRC, nimejiuliza hapa huyu mwanajeshi alikolewa na nyimbo au alikua anacheki usalama kijanja?
.
.
.
.
.
.
.
.
No comments:
Post a Comment