Sunday, December 9, 2012
HAWA NDIO WATOTO WA 2FACE WALIOKULA DILI ZA MAMILIONI KWENYE MATANGAZO YA TV
Hawa ni watoto wawili ambao aliwapata na mama watoto wake wa tatu wanaitwa Nino na Zino ambao baada ya matangazo mengine ya Tv ambayo yaliwaingizia mamilioni ya Naira, sasa hivi wamekula dili la kutengeneza tangazo la juice kutoka kampuni ya house of Chi.
Mpaka sasa hivi wametokelezea kwenye matangazo makubwa kadhaa ya Tv kutangaza bidhaa mbalimbali yakiwemo maziwa.
Mama yao mzazi ameandika kwenye page yake ya twitter kwamba mtoto wake wa kwanza alipata dili la tangazo la Tv akiwa na umri wa miaka miwili tu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment