,
RAJABU ZUBERI(30),MKAZI WA Kerege,Muheza Tanga, akiwa chini ya ulinzi
wa wanausalama leo saa mbili asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu Dar es Salaam, baada kifaa maalum cha upekezi kumnasa mganga huyo
akiwa na vifaa hivyo vya uganga ambavyo alikuwa amekuja navyo
mahakamani hapo kwaajili ya kufanyia mambo ya kishirikina katika kesi
moja inayomkabili mmoja wa washtakiwa mahakamani hapo.
Hongereni sana wanausalama kwa kazi nzuri ya kumnasa mtu huyo kwani
mmesaidia kuvuruga azma yake.Picha kwa hisani ya Happy Katabazi
No comments:
Post a Comment