Friday, December 21, 2012

BREAKING NEWS: GODBLESS LEMA ASHINDA RUFAA YA KESI YAKE

 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjucKf8-SKuze1kjCnXhgU84G408IaGF4d18OOOEbec_cCXNM83Gmm5W7R2WmEEJ9WKLtshLrLaQQ5HsBc5GQW_BRyIBRWpmklZAKxo-klHzxo-fEu4hBudQsBuPBxwO75KXJuMRu_wfoI-/s640/lema.jpg1.jpg
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Godbless Lema amerudishiwa ubunge wake baada ya kushinda katika rufaa ya kesi yake ya kupinga matokeo iliyosomwa jijini Dar es Salaam leo.
Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye

No comments:

Post a Comment