Kutoka
Golden Tulip Dar es salaam Tanzania Swahili fashion week ndio
inafanyika mwaka huu ambapo imeanza december 6 na inaisha december 8
2012 yakiwa ni maonyesho ya mavazi Afrika mashariki na kati na huu ni
mwaka wa tano, kuna wabunifu 22 kutoka Tanzania na 15 kutoka nje ya
Tanzania, kutatolewa tuzo mbalimbali pia.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
No comments:
Post a Comment