.
Mtangazaji wa CITIZEN TV/RADIO William Tuva ambae ameifatilia hiyo ishu amepata info kutoka kwa wahusika kwamba mwimbaji huyo ni kweli alipaswa kuja Kenya december hii lakini imeahirishwa na sasa itakua mwakani kabla ya uchaguzi mkuu.
Waliopanga kumleta ni walewale mapromota waliomleta mwimbaji Akon siku kadhaa zilizopita.
Bado stori iko palepale kwamba CB anakuja Africa december hii ambapo atafanya show Lagos Nigeria december 22 2012.
chanzo-millardayo.com
No comments:
Post a Comment