ii. Nitaitumikia nchi yangu na binadamu wenzangu wote kwa unyenyekevu na moyo wa upendo na huruma
iii. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, maradhi, na dhuluma hapa nchini na duniani pote.
iv. Rushwa ni adui wa haki, sitatatoa wala kupokea Rushwa.
v. Cheo ni dhamana . sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
vi. Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
vii. Nitashirikiana na wenzangu wote kuijenga nchi yetu na dunia yenye haki na amani.
viii. Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
ix. Nitakuwa raia mwema wa Tanzania, Afrika na Dunia nzima.
x. Nitakuwa mtii kwa Raisi na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Itaendelea
Kwa makala na mafundisho mabali mabali tembelea ukurasa wetu wa ujulikanao kama . Changing Youth Changing Nation
Mwl.Tuntufye Mwakyembe
No comments:
Post a Comment