Sunday, December 2, 2012
MATOKEO YA REAL MADRID VS ATLETICO MADRID DEC 1 PAMOJA NA VIDEO ZA MAGOLI.
Real Madrid december 1 2012 imechukua ushindi kwa kuifunga Atletico Madrid 2 -0 magoli ambayo yalifungwa na Ronaldo na la pili lilifungwa na Ozil katika mechi hiyo ambayo Real Madrid walitawala mpira kwa asilimia 66.
Ronaldo ndio alianza kwa kufunga goli la kwanza kwenye dakika ya 15 kwa kupiga shuti la mbali kutokea nje ya 18 ambalo moja kwa moja liliingia kwenye nyavu bila kuguswa na goli la pili la Ozil lilifungwa kwenye dakika ya 65 baada ya kupata pasi nzuri kutoka kwa Ronaldo ndani ya 18.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment