Taarifa kutoka: Tanzania Journalists Alliance (TAJOA)
Habari
za hivi punde; Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa
Iringa (IPC), Daudi Mwangosi, pichani - amefariki dunia kijiji cha
Nyololo, Mufindi, Iringa baada ya kutokea vurugu baina ya polisi na
wafuasi wa chama cha Chadema.
Habari zilizotufikia kutoka huko, zinadai kuwa Mwangosi, ambaye ni mwandishi wa habari wa Channel 10, amefariki papo hapo.
No comments:
Post a Comment