Bwana
Yesu Asifiwe!!Semina ya Dar es salaam itafanyika uwanja wa jangwani na
sio uwanja wa biafra kama tuliandika mwanzoni. Kutakuwa na kipindi cha
vijana wa chuo,sekondari na walioko nyumbani siku ya jumamosi tarahe
15/9/2012 kwa Arusha(uwanja wa reli) na 29/9/2012 kwa Dar es
salaam(uwanja wa jangwani) kwanzia saa tatu asubuhi mpaka saa sita
mchana. Mungu awabariki sana na tunashukuru kwa maombi yenu na
tunaendelea kuwaombea.
No comments:
Post a Comment