Sunday, September 30, 2012

NINE WRONG EXCUSES FOR HAVING SEX BEFORE MARRIAGE

This is how most of young people say
--It makes me feel loved, valuable and wanted
--My boyfriend will leave me if I won’t have sex with him
--Some of the girls say you must show a man that you can give him children
-- Some say what if I die, I can’t die before testing it
-- My friends may think there’s something wrong with me if I don’t have sex
-- Some of the boys say it proves that I am a real Man
--Some say you need to practice and get experience in it.
-- Some say if you don’t have sex, you will get sick or go mad
-- Some of the boys say you must show a woman that you can give her what she want
It is important to know that sex before marriage sound so sweet for a very short moment of time and turn to be a heavy Burden for a long time, negative consequences like Heartache, Diseases, unwanted Pregnancy and Aids.
If you’re in a position please have time to pray for young people counsel and teach them.

Mwl.Tuntufye A.Mwakyembe
Changing Youth Changing Nation.

Bundi waleta tafrani mkutano wa CCM,wadaiwa ni watu waliogeuka kuwa bundi ilikuvuruga mkutano huo.

 Nusura waangukie alipokaa Lembeli, Mgeja
Katika hali ya kushangaza iliyotokea katika uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) unaoendelea wilaya mbalimbali nchini, jana bundi wawili waliingia kwenye ukumbi wa mkutano mjini hapa.
Bundi hao nusura waangukie juu ya meza waliyokuwa wamekaa Mbunge wa Jimbo la Kahama James Lembeli na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja.
Kitendo cha bundi hao kimetafsiriwa na baadhi ya watu kuwa ni cha kishirikina. Hata hivyo, katika imani za kiafrika, bundi anapoonekana maeneo ya nyumbani kwako au kulia juu ya paa la nyumba yako, hiyo kitafsiri ni dalili mbaya sana ya mikosi itakayokuandama baada ya hapo.
Imeelezwa kuwa vitendo vya kishirikina bado vimeshamiri kwa baadhi ya watu wanaowania kupata uongozi.
Hali hiyo ilizua mtafaruku mkubwa ndani ya ukumbi wa mkutano hasa kwa wagombea wa nyadhifa mbalimbali ndani ya CCM wilayani hapa ambao walionekana kuwa na wasiwasi.
“Ni ajabu kweli bundi kuingia katika ukumbi huku kukiwa na kelele kubwa na kutaka kuanguka katika meza za viongozi, kitendo hicho ni cha kushitua sana,” alisema, Diwani wa kata cha Chambo, Damas Joseph.
Alisema kuwa mambo hayo yanayohusiana na imani za kishirikina katika chaguzi za CCM, hivyo ni muhimu yakakemewa na chama kwani viongozi wanapaswa kuchaguliwa kwa haki kupitia kura zinazopigwa na wajumbe.
Hata hivyo, alisema hadi sasa hakuna malalamiko yoyote yaliyojitokeza wakati uchaguzi huo ukiendelea na kuongeza miujiza hiyo iliyojitokeza ndio iliyoshtua wajumbe.
Mwanachama mwingine wa CCM kata ya Ukune, Deo Ndilima, alisema kuwa kwa sasa bado vitendo vya kishirikina havijaisha na kuongeza kuwa hali hiyo ni ya hatari hasa katika uchaguzi na inasababisha chama kupata viongozi wasiofaa.

Liverpool yaifunza Norwich baada yakuifunga 5-2


                                 Suarez akifunga moja ya mabao matatu aliyofunga jana
Mshambuliaji matata wa Liverpool, Luis Suarez amefunga magoli matatu kati ya matano dhidi ya mawili ya Norwich, ukiwa ni ushindi wa kwanza kwa timu ya Liverpool katika msimu huu wa ligi kuu ya England.
Suarez alifunga goli la pili akiwa nje ya eneo la hatari baada ya kumiliki mpira akielekea lango la Norwich.
Suarez alifunga bao la tatu baada ya ushirikiano mzuri na Nuri Sahin.
Nohodha Steven Gerrard alishindilia msumari wa mwisho katika jeneza la Norwich kwa kufunga bao la tano na kuifanya timu hiyo kuangukia sasa nafasi ya 14 kati ya timu 20 za ligi kuu ya premier.
Kileleni wapo Chelsea wenye pointi 16.

CHADEMA Yazidi Kuitafuna Familia Ya Wasira

Two daughters of CCM staunch member and senior cabinet minister Steven Wassira have joined the leading opposition party Chadema, a move that is translated as a total revolt in relation to political loyalties of their father.
Lilian Wassira and Esther Wassira joined Chadema yesterday in Dar es Salaam before reporters, after which they told reporters that they never bothered what other members of the family would say about their decision.
This is not the first time people whose families are deeply steeped in CCM join opposition parties, after the more celebrated case in 1995 when Makongoro Nyerere kept shouting epithets against his father, winning the Arusha Urban parliamentary seat while Mwalimu Nyerere combated NCCR-Mageuzi presidential candidate Augustine Mrema.
Steven Wassira himself in 1995 defected to NCCR-Mageuzi and contested in the Bunda parliamentary election.
Despite winning the seat he came to lose in a court ruling after a petition filed by CCM candidate Joseph Warioba, a former prime minister, in the High Court.
Speaking to reporters, Esther Wassira, a lawyer from Amicus Attorneys said that she saw the future of Tanzania being heralded by the opposition party, Chadema.
However she said that there were a lot of things the ruling party has done well but they need to make some changes instead of having the same policy everyday with little impact on the public.
She argued that there was a need of seeing changes and development in the country by giving a chance to other parties such as Chadema to lead, as it was the only party that strives for change in the country.
According to Esther Wassira, it was meaningless for Tanzania which adopted multiparty politics in 1992 to be ruled by the same party. He said the youth should come out to support Chadema instead of complaining about lack of change.
On her part, Lilian Wassira, also a lawyer, affirmed that joining Chadema was not a family matter. “I am ready for everything no matter what, because I see Chadema fighting for Tanzanians,” she declared.

Saturday, September 29, 2012

Chelsea yaichapa Arsenal kwao

                                      Kiper wa Arsenal Vito Mannone akifungwa
Chelsea imekuwa timu ya kwanza kuichapa Arsenal katika mechi za ligi kuu ya Uingereza msimu huu baada ya kuwachapa 1-2 katika uwanja wao wa nyumbani,Emirates siku ya Jumamosi.
Vijana wa Roberto Di Matteo ndio walikuwa wa kwanza kufunga katika dakika ya 20 kupitia mshambulizi Fernando Torres baada ya mkwaju wa adhabu kupigwa na Juan Mata.
Lakini katika dakika ya 42 mshambulizi Gervinho alifunga bao safi hivyo kuzifanya timu hizo mbili ziende mapumzikoni zikiwa sare ya 1-1.
Na katika dakika ya 52 ya kipindi cha pili, Mata alipiga mkwaju mwengine wa adhabu ambapo ulimshinda mlinzi Laurent Koscielny na badala yake kumgonga mguu na kuingia ndani huku ikimuacha Kiper wa Arsenal Vito Mannone hoi.
Wenger amekua akilalamika kwamba safu yake ya nyuma imekuwa ikizembea katika mipira ya adhabu.
Licha ya kufungwa huko, Arsenal walitawala ngoma hiyo nzima ya Jumamosi lakini safu ya mbele ya vijana hao wa Arsene Wenger iliyonekana kukosa makali na kuwa na kukosa umakini.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kutwaa uongozi wa halmashauri ya jiji la Mwanza

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kutwaa uongozi wa halmashauri ya jiji la Mwanza, baada ya kushinda nafasi ya Meya iliyokuwa ikishikiliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Chadema ilitwaa nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, ambapo diwani wa Nyakato, Josephat Manyerere alishinda.
Kwa ushindi huo, Manyerere akawa Meya wa kwanza wa jijini hilo kutoka upinzani, tangu Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa vyama vingi uliofanyika 1992.
Kwenye uchaguzi wa jana, CCM kilimsimamisha diwani wa kata ya Mkolani, Stanslaus Mabula, kuwania nafasi ya Meya wa jiji wakati Naibu Meya ikimshirikisha John Minja (diwani wa Igogo).
Kwa upande wa Chadema, kilimsimamisha diwani wa kata ya Mahina, Charles Chinchibela, kuwania nafasi ya Meya na kuacha nafasi ya Naibu Meya kuwaniwa na diwani wa kata ya Mirongo (CUF), Daud Mkama.
Matokeo ya jana yakawa CCM kuibuka ‘mbabe wa siasa za Mwanza’ baada ya Mabula kupata kura 11 dhidi ya nane za Chinchibela.
Dhoruba ya kisiasa ya CCM iliuangukia upinzani katika nafasi ya Naibu Meya ambapo mgombea wake, Minja, alipata kura 10 dhidi ya kura 8 alizopata Mkama wa CUF.
Kabla ya kufanyika uchaguzi huo, madiwani wa Chadema wakiongozwa na Mbunge wa Nyamagana, Hezekiah Wenje, walijaribu kugomea uchaguzi huo wakipinga hatua ya CCM kuwahamisha Mbunge wa viti maalum (CCM), Maria Hewa na diwani wa viti maalum (CCM), Leticia Simba, kutoka wilaya ya Ilemela kwenda Nyamagana.
Madiwani hao wa Chadema walikusudia kugomea uchaguzi huo kwa madai kwamba, Mbunge Hewa na Diwani Simba ni wakazi halali wa wilaya ya Ilemela, na hati zao za viapo bungeni na katika baraza la madiwani, zinatamka hivyo.
Hata hivyo, baada ya kujadiliana kwa kina, hatimaye madiwani hao wa Chadema walikubali kurudi na kuendelea na uchaguzi na kujikuta `wakiangukia pua’ na kuiacha halmashauri ya jiji la Mwanza katika uongozi wa CCM.

HONGERA BOT-BOT launches single borrowers` databank

Alarmed by growing credit abuse, defaults and frauds from borrowers, the Central Bank of Tanzania (BOT) yesterday launched a credit bureau data base system, a single databank known as Credit Reference System (CRS).
CRS would monitor and store all details of borrowers, whereby it could also be used by lenders to conduct ‘due diligence’ to any new loan applicants before issuing credits.
  Following the BOT move, all banks, financial institutions, including micro-lending agencies, will now have their customers’ credit records kept at a single databank system.
The CRS system is designed to collect and provide information on payment records of all borrowers, such as those from Savings and Credit schemes in the country and other entities engaged in regular issuance of loans.
The BOT Director of Banking Supervision, Agapiti Kobelo said during the launch that, “the establishment of CRS is a continuation of government’s efforts to reform the financial sector with the enactment of the Banking and Financial Institution’s Act which whose applicability started way back in 1991”.
According to one aspect within the Act, the Credit Reference System shall consist of a databank administered by the BOT and private credit bureau operating under the conditions prescribed by the Central Bank in the country.
  The Act has further opened doors for private banks in the country to enter into the market and fair trade competition. The reforms were initiated in order to create an effective and efficient financial system. 
Describing how the CSR will work, he said that basically there will be two different ways on how to coordinate the system; this is either by mandatory or voluntary sharing of information.
Under the mandatory scheme, the Central Bank will collect all relevant information from licensed banks and financial institutions and makes it available to licensed private micro finance institutions (credit bureaus).
This is done in countries where awareness of the benefits of credit bureaux is not very high, where lenders may be reluctant to share information, a model which Tanzania has adopted.
In other countries where consumer credit is developed and knowledge is well spread, a credit report is a good tool to get more customers at lower price, thus the sharing of information is generally voluntary and a lender gives the information on reciprocity basis.
He also noted that apart from borrowers’ information, the CSR will also source data from other entities such as utility providers, phone companies, debt collection agencies, public institutions such as Business Registration and Licensing Authority (BRELA) and the courts.
Detailing how this would be transacted, he said the bureaus will prepare credit reports that will then be sold on request to users. A typical user will be a lender who will be approached by a potential borrower for a loan and before the loan is granted, the lender will request for a credit report on the applicant from a private credit bureau to assist in analyzing and evaluating the loan request.
It is worth noting that credit information might be of useful interest to other users, including bank supervisors, other units with the bank, government agencies, employers, insurers and real estate agents. Borrowers will be allowed to have free access to their credit reports once per year upon request and shall have a right to challenge information contained in a report.
“The benefits of giving borrowers access is to build trust and ensure transparency and assessment of the accuracy of the information maintained in the system”, he said.
Describing the disadvantages of the absence of the CRS before its introduction, the Deputy Governor of the BOT, Juma Reli noted that the system in Tanzania has been one of the major factors limiting access to credit. Small firms and individuals borrow at high rates because of the high risks involved as lenders do not have information on their credit behaviors.
However, he noted that, in view of this there is usually disparity of knowledge (information asymmetry) between the lender and the borrowers about the past payment behavior and the current level of debt a result of which makes banks fail to make informed decisions on their lending operations.
Experience has shown that problems related to data accuracy are the subject of numerous complaints and litigation around the world and, as a result, have had significant impact on the development of credit reference systems.
In view of the need to have a State-of-the-Art credit reference system in Tanzania, the BOT has engaged M/s Creditinfo International to assist in setting up a credit reference databank, the vendor started work in October 2011. Pilot testing of the system began in June 2012 and so far about 26 banks have already joined the testing environment out of which 9 banks have successfully uploaded data into the system.
SOURCE: THE GUARDIAN

Friday, September 28, 2012

Wamiliki wote wa shule igeni mfano huu wa kanisa katoliki Moshi- Marufuku kupandisha ada kiholela

KANISA Katoliki Jimbo la Moshi, mkoani Kilimanjaro limepiga marufuku upandishwaji wa ada kiholela pamoja na michango isiyo ya lazima kwa shule zote zinazomilikiwa na kanisa hilo.
Kutokana na hali hiyo, wakuu wote wa shule hawataweza kupandisha ada pamoja na michango mpaka kupata baraka kwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi, Izack Amani.
Akizungumza kwenye mahafali ya kidato cha nne ya Shule ya Sekondari Kisomachi inayomilikiwa na kanisa hilo, Mkurugenzi wa Elimu wa jimbo hilo,William Ruaichi, alisema wameamua kufanya hivyo, ili kuondoa malalamiko kutoka kwa wazazi kutokana na baadhi ya shule kuongeza ada bila kufuata taratibu.
“Ni kweli kumekuwepo na malalamiko kwa wazazi kuwa ada ni kubwa pamoja na michango ambayo imekuwa ikitozwa na shule za Katoliki, tumekwisha kuwaandikia barua kuwa hakuna ada itakayotozwa au michango bila wakuu wa shule kuwasiliana na askofu,” alisema Ruaichi.
Alisema suala la upandishwaji wa ada wakati mwingine linatokana na baadhi ya shule kuwa na watumishi wengi wasiokuwa wa lazima pamoja na kutofanyiwa ukaguzi wa fedha, hivyo kutokuwa na matumizi ya fedha za shule hizo.
Kwa upande wake, mkuu wa shule hiyo, Flugensi massawe, alisema umefika wakati jamii kushirikiana kwa pamoja katika kutoa mchango kwenye sekta ya elimu ikiwa ni pamoja na kuwasaidia watoto ambao wanahitaji kusoma, lakini wazazi wao hawana uwezo.
Alisema jamii haijahamasika katika kuchangia elimu kama sherehe, hivyo kutoa wito kuiga kwa nchi jirani kama Kenya ambazo wameweka vipaumbele katika kuchangia zaidi masuala ya elimu.

nani anataka dola milioni 64 bila kutoa jasho jingi?jiunge kuwa member nitakusaidia kupata contacts zake.

nadhani kazi hii itakuwa nyepesi mno kwa jamaa wa Bongo Tanzania, au Mombasa, au Uganda mtuweza?.
Tajiri mmoja nchini Hong Kong ametoa zawadi ya dola milioni 64 za kimarekani kwa mtu yeyote atakaye faulu kumtongoza binti yake bi Gigi Chao na akubali kuolewa nae.
tatizo ni hili bi Chao ni msango, au lesbian mwanamkea nayependelea kufanya mapenzi ya jinsia moja.
tatizo jengine ni kuwa bi Chao mwenye umri wa miaka 33 tayari amefunga ndoa kisiri na mwanamke mwenzake hivi majuzi tu.
sasa basi, ukitaka dola hizo milioni 64 za kimarekani mtongoze, Bi chao , ufaulu kumuondoa katika ndoa hiyo na mwanamke mwenzake na utafaulu kumuoa.

Tamko La CHADEMA Kukanusha Shutuma Za CUF Kufanyiwa Vurugu Na CHADEMA



TAMKO LA CHAMA KUKANUSHA SHUTUMA ZA CHAMA CHA CUF KUFANYIWA VURUGU NA CHADEMA. Ndugu wananchi na wanahabari, Siku ya terehe 27 Alhamisi Septemba 2012 chama cha wananchi CUF walitoa taarifa ya malalamiko kwa vyombo vya habari na mitandao kuwa wanachama wa CHADEMA wamewafanyia vurugu kwa kuwapiga mawe na kuwa jambo hilo limehamasishwa na viongozi wa chama katika mkoa wa Arusha pamoja na Mhe Godbless Lema. Wote tunafahamu kuwa siku hiyo hiyo katika viwanja vya soko la Kilombero wafanyabiashara ndogo ndogo walikuwa wamevamia na walikuwa wakijigawia maeneo, baada ya eneo la awali walilopewa la viwanja vya NMC kushindwa kuwachukua wafanyabiashara wote na halmashauri kushindwa kutoa majibu kwa wafanyabiashara hawa ambao waliwaambia wote waende NMC. Kwanza tunapenda kutoa pole kwa viongozi wa CUF kwa jambo hili lililowapata.

Wao kama watu na Watanzania wenzetu tunawapa pole sana. Pili, CHADEMA inakanusha kuhusika na jambo hili. Hii si tabia ya CHADEMA na kamwe haiwezi kuwa tabia ya CHADEMA kufanya siasa chafu za namna hiyo. CHADEMA tunajali sana amani na upendo, na hii ndiyo tabia na makuzi yetu Watanzania. Katika mazingira haya, CHADEMA tunachukua fursa hii kuvikaribisha vyama vyote mathalani CUF, Arusha ni yetu sote na tutumie demokrasia vizuri kufanya kazi nzuri ya siasa kwa ajili ya kusababisha na kuleta matumaini kwa Watanzania hawa ambao serikali ya chama cha mapinduzi imeshindwa kuwaletea.

CHADEMA hatuna shida na ushindani wa kisiasa katika mazingira ya kidemokrasia kwa maana ndio wakati pia wa wananchi kupima na kujua nani mkweli na ama nani anafanya kwa dhati ya kweli. Hivyo tunawakaribisha CUF karibuni Arusha na wala wasitafute kisingizio cha kuegemea ili CUF ianze kutajwa tajwa kwa kutumia mgongo wetu. Sambamba na hili, CHADEMA mkoa wa Arusha tumesikitishwa sana na tamko la CUF lilitolewa na Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na haki za BInadamu Mhe Abdul Kambaya, tamko lenye matisho na lugha isiyofaa. Moja na maneno ya tamko hilo wamesema, nukuu “Uwezo wa kuwafanya tutakavyo tunao na kwa sababu wameanza tunaweza kumaliza”.

Wakazi wa Arusha na Watanzania wapime na waone, haya si maneno yanayoweza kutoka kwenye kichwa cha mtu anayefikiri vizuri, mtu anayeipenda nchi yake na kuheshimu utawala wa sheria. Zaidi ya hapo tamko hilo limesema pia, “Ile ngangari kwa polisi tunaweza kuwahamishia wao wakose pa kukaa”. Katika yote haya, niwaombe wakazi wa Arusha, Wanachadema na hata wanachama wa vyama vingine tuwapende na tuwakaribishe CUF Arusha na sote tufanye kazi ya siasa kwa nguvu za hoja.

CUF wanaweza kufanya hicho wanachotaka kufanya lakini CHADEMA kamwe hatupo tayari kwa vurugu ya aina yoyote, aidha tunawakaribisha kwa moyo mmoja na kama wapo tayari basi tufanye siasa zenye tija na manufaa kwa wakazi wa Arusha. Aidha nitoe onyo kali sana kwa mamluki ambao wamekuwa wakijifanya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu. Mara kadhaa watu hawa wamekuwa wakisababisha fujo ili kukifanya CHADEMA kionekane kuwa ni chama cha vurugu.

MAMLUKI ni sumu, tukimgundua na kumthibitisha mtu wa aina hiyo katikati yetu tutamtangaza mbele ya jamii kuwa yeye ni sumu na kuomba wananchi wamtenge maana anapingana kwa kuleta hila na unafiki kwenye kazi ya kuwakomboa Watanzania.

Niwatangazie mamluki hamtatuweza na tutawagundua tu. Mwisho, tunapoelekea kwenye marudio ya uchaguzi mdogo kwenye kata za Daraja II kwa Arusha mjini na Bangata kwa wilaya ya Arumeru Magharibi, nirudie kusema maneno ya Mhe Lema kuwa iwapo viongozi na watumishi wa umma watajihusisha na kushiriki kwa kufanya kampeni za kisiasa wakiwa wanatumia magari na vifaa vingine vya serikali watu hawa tutawakamata na tutawapeleka huko wanakostahili kupelekwa wezi na vibaka wengine. Hii ni tahadhari tunamaanisha kweli na wananchi wote wawe makini “wakamate mwizi” lengo likiwa ni kuweka adabu kwa watumishi na viongozi umma wanaovunja sheria ya utumishi wao kwa umma na matumizi ya rasilimali kwa namna isivyotakiwa kisheria.

 CHADEMA tutashiriki chaguzi hizi na tunawaomba wakazi wote wa maeneo haya tushiriki kwa utulivu na amani. WANACHADEMA wote tuendelee kuwa majasiri, tusiwe waoga na tusimamie kweli na haki.

alichoandika Mh.Zito Zuberi Kabwe facebook kuhusu msimamo wake wa kuachana na Ubunge 2015 na comment za wadau mbalimbali

Zitto Kabwe · 5,949 like this
2 hours ago ·
Narudia, mwaka 2015 sitagombea Ubunge. Nitafanya kampeni ya Urais, ama mimi kama mgombea wa chama changu CHADEMA au kama mpiga debe wa mgombea wa chama changu. Miaka 10 ya Ubunge inatosha na kwa ngazi hiyo ni vema niwaachie wengine wasukume mbele gurudumu la maendeleo ya Jimbo na mkoa wetu. Huu ndio uamuzi wangu wa mwisho na nimeshawaeleza wananchi wa Jimbo langu na mkoa wa Kigoma toka mwaka 2005 — in Kigoma, Tanzania.
  • 108 people like this.
  •  Mwachie slaa kwanza,samahan lakn
  •  Usisite kugombea urais,ni nafasi ya vijana sasa,anayejaribu kukufananisha ww na Mnyika sijui anatumia vigezo gani,Kazi gani Mnyika amepiga ya kutolewa mfano,maana hata awamu ya ubu...See More
  •  Kwa uamuzi wa kuachia jimbo ni wa busara na demokrasi ndivyo itakavyo lakin upande wa wabunge kutakuwa na pengo kubwa utakapoacha. Kwa suala la urais wewe bado jipange kwanza kwa hilo.
  •  Unaitajika sn bungeni kuliko kukimbilia urais sa iv,,,coz tutapunguza jembe umo ndan,,subili uwe ata waziri mkuu,2015,whl Dr.raisi.
  •  mi nadhani ni vyema kukaa na kutulia kufanya maamuzi na kamati ya chama kama ukichaguliwa kuwakilisha chama kwenye urais sawa lakini kama hutachaguliwa kuwakilisha chama bora ugombee ubunge kuweka ngome imara na sio mpiga debe tu, Mungu bariki amani na mipango ya nchi ya Tanzania. THE CHANGE IS NEAR
  •  No! No! BIG NO! Mm ni mfuasi wa chadema lakini naapa kama watakupitisha kugombea urais sitokupa kura yangu... Unajua ww pamoja na busara zako bado hujafikia ngazi ya urais- presidential post is only for DR. Slaa, kama si yy Bhaaaasssssss!!!!
  •  Ccm haiwe kukubari zitto mashine akigombea tu imekula kwao
  •  Pamoja kiongozi...........viva CHADEMA na Zitto
  •  Mmm!
  •  Sawa kaka lakini we still need you,kwan your the source of many development project in our region
  •  hiyo ndo busura na utawala bora
  •  Imekaa vyema sana hizi ndizo element za kiongozi bora kutokaa mpaka wakuchoke pamoja na kwamba hatutakuchoka milele utabakia kiongozi hata kama hutagombea, hakika utakumbukwa kwa uongozi uliotukuka ndani ya jimbo na taifa kwa ujumla, hongera sana KINGOZI SHUPAVU, CHADEMA IDUMU DAIMA
  •  sawa mkubwa nktabiria ushnd cham che2 2mechoka na sela ya ubepari
  •  Si sahihi kujitangaza kipindi hiki,huu ni wakati wa kujenga nchi na chama chako. Sifa za kuwa rais unazo,ila umepungukiwa na busara na kusoma alama za nyakati. Hata ccm wanapinga watu kutangaza nia ya urais kipindi hiki. TUTAKUPIMA KWA MATENDO
  •  yani me wakwanza kupiga kusapot hilo mdau tutaftane mdau maana kck hizi uko busy mbaya kila ukisema waja huji tulijenge gurudumu la chadema big up sanaaaa
  • ombea binafsi,wamarekani ndio waanzilishi imewashinda je hap bongo?
  •  Kama chama hakitakuteua kugombea urais,naomba ugombee ubunge jimbo lolote hata kama sio kigoma ila popote alipo mbunge wa ccm ili 2wapunguze bungeni.UKIKOSEKANA BUNGENI NI SAWASAWA NA WABUNGE 50 HAWAPO
  •  Wewe rais 2 hata wachonge hao si wezi 2
  •  Nadhani niumuzi mzuri Zito,Kupokezana kijiti nimtindo bora sana wamaelewano naheshima!Heshima uliupa mkoa wakigoma Mungu ndie atakulipa,Naamini unamapungufu lakini yasitufanye tusi...See More
  •  isije ikawa ndo njia ya kuhama chama
  •  zito umri bado hajafika wa KUGOMBANIA URAIS
  •  endelea tu na ubunge urais ni vaz kubwa sana kwako,hujanenepa vzur
  • i to be honestly i cant judge this but i am still thinking what the next move of the man, my fellow we need to think deeply and widely why man opt not to hold the throne like he does before.
    Big up kwa watanzania wenye malengo na nia ya kuikomboa tanzania.
  •  wewe ndo mkombozi wa wanyonge nakukubali sana mheshimiwa kaza uzi u2komboe wanyonge!
  •  uamuzi wako wakuto ng'ang'ania madaraka ni mzuri sana ila wana cdm bdo 2nakuhitaji bungeni 2015-2020 uwe waziri then ndo uwaze uraisi
  •  u are among people who apply the quote 'be the change u want to see in the world' i give my hope to no body but i keep my trust to u. u are the mirror of upcoming leaders.
  •  Dah!?mshikaji,mbona hivyo?
  •  Broo acha mwendo kasi aisee,uko kwenye kona,mbona mapema?just vumilia kwenye ubunge kwanza mweshimiwa.tuna kuku bali ila weka pause kaka.
  •  Mda bado mbona Kamanda subir mpaka 2020,nguvu ya Umma.
  •  My role model...bravo mh.Zitto.
  •  Kaka angalia ukienda uko ukapigwa chini kabisa
  •  huo ndio uongozi thabiti sio kung'ang'ania 2 madalaka!
    Keep it up!
  •  da. 2liokuwa 2nawategemea ndo hao ccm washatia mkono wao,kuna kaz kuja kulitoa ili DUDU CCM, haingii akilini hi picha inayoendelea.
  •  Dah poa kaka mm ngneridhika na uamuzi wako ndio mwanzo wa safari yako mpya na mambo mapya big up kaka.