Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dkt. Wilbroad Slaa
akipandisha bendera ya Chama kuashiria uzinduzi wa tawi Jipya la CHADEMA
Classic lililoko katika kata ya Longuo mjini Moshi.
Meya wa
manispaa ya Moshi,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi
la Chadema Classic lililopo kata ya Longuo mjini Moshi.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dkt. Wilbroad Slaa
akikata utepe wakati akizindua tawi la vijana wa CHADEMA la Aslam Garage
mjini Moshi.
Diwani wa
viti maalum,Hawa Mushi akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la vijana
wa Chadema katika eneo la Aslam Garage mjini Moshi.
Mwenyekiti wa Baraza kuu la vijana wa Chadema (BAVICHA),John Heche
akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la Chadema classic lililopo kata ya Longuo B mjini Mosh
akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la Chadema classic lililopo kata ya Longuo B mjini Mosh
You might also like:
No comments:
Post a Comment