


Picha zinazoonyesha Michoro ya Ukumbi,Ofisi za Makao makuu na Hotel ya nyota tano.

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein akiwasili eneo la Makulu kwenye sherehe
za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za makao makuu, Ukumbi
wa Mikutano na Hotel ya Hadhi ya nyota tano muda mfupi ulipita.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye sherehe za uwekaji wa
jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Chama,Ukumbi wa
Mikutano na Hotel za Hadhi ya Nyota Tano katika eneo la Makulu Dodoma
muda mfupi uliopita
No comments:
Post a Comment