Monday, November 26, 2012
HAYA NI MAMBO MACHACHE MUHIMU YA KUYAZINGATIA KILA SIKU.
Nimepita kwa dada yangu Monica nikakuta karatasi lililoandikwa mambo machache ya binadamu yeyote kuyazingatia kwenye mzunguko wa maisha wa kila siku.
1. Hakikisha unapoongea na simu unatumia sikio la kushoto
2.Usinywe dawa na maji baridi
3. Usile heavy meals baada ya saa kumi na moja jioni
4. Kunywa maji mengi wakati wa asubuhi, usiku kunywa kidogo
5. Wakati mzuri wa kulala ni kuanzia saa nne usiku mpaka saa kumi usiku
6. Wakati simu yako imeisha charge na kubaki bar moja, usipokee simu yoyote utakayopigiwa kwa sababu simu inapoisha charge kama hivyo, radiation is 1000 times stronger.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment