Salma Yussuf Abushir amekuwa wa pili na Wababa Mtuka amekuwa wa tatu, wakati ndugu wawili, Nsami Nkwabi na Nshoma Nghangasamala hawakuingia tatu bora.
![]() |
| Walter akikabidhiwa begi lake la Milioni 50 |
![]() |
| Walter akiwapungia mashabiki baada ya kushinda |
![]() |
| Walter akifanya vitu vilivyompa ushindi |



No comments:
Post a Comment