Thursday, November 8, 2012

MCHANGANUAO WA GHARAMA ZA UZINDUZI WA JIJI LA ARUSHA!!


1.Kikundi cha Orijino comedy Tshs 12mil
2.Msanii Diamond Tshs 10mil
3.Fulana 3,000 Tsh 26mil
4.Mapambo uwanja wa mpira Tsh 4,517,500
5.Ununuzi wa zulia Jekundu Tshs 2,475,500
6.Mapambo mnara wa Mwenge Tshs 2,500,000
7.Ununuzi wa njiwa Tshs 1,620,000
8.Kikundi cha ngoma ya kimasai 1,050,000
9.Kikundi cha JKT oljoro Tsh 1,500,000
10.Mapambo kitambaa Tshs 385,000
11.Vibao vya uzinduzi(mawe)Tshs 1,980,000
12.Jiwe la uzinduzi barabara za TSCP 1,840,000
13.Kukodisha horn speakers 1,000,000
14.Kutengeneza matangazo makubwa manne Tshs 6,400,000
15.Mabango makubwa 4 ya mipakani Tshs 7,079,000
16.Ufunguo wa jiji 950,000

Matumizi mengine....

1. Frame ya cheti cha jiji 150,000
2. Matangazo roll up bunners 1,000,000
3. Wheel covers 25 Tshs 1,275,000
4. Hang up bunners tshs 2,430,000
5. Ratiba 300 1,200,000
6. Makala maalum TBC 5,000,000
7. Kipindi maalum Star Tv 700,000
8. Tangazo maalum TBC 2mil
9. Matangazo Redioni na magazetini 1mil
10. Waandishi wa habari 1.5mil
11. Uandaaji na usambazaji wa barua za mialiko Tshs 1,526,000
12. Chakula cha mchana Mount Meru hotel kwa msafara wa Mh Rais 15mil

JUMLA KUU: 114,149,500.


umegundua nini mtanzania unaelalamikia matumizi mabovu ya fedha za umma??
chanzo-mpekuzi sukununu

No comments:

Post a Comment