Friday, August 31, 2012

taarifa kutoka shirikisho la soka nchini (TFF) leo

MTIHANI WA MAWAKALA WA WACHEZAJI SEPT 27
Mtihani kwa ajili ya watu wanaotaka kuwa mawakala wa wachezaji wanaotambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) utafanyika Septemba 27 mwaka huu saa 4 kamili asubuhi ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

Kwa wanaotaka uwakala huo wanatakiwa kujisajili ambapo watapewa kanuni mbalimbali za FIFA na TFF ili waweze kujiandaa kikamilifu kwa mtihani huo utakaokuwa na sehemu mbili. Sehemu ya kwanza ni maswali kutoka FIFA wakati nyingine ni kutoka TFF. Ada ya mtihani ni dola 50 za Marekani.

Europe League Draw-UEFA NDOGO,LIVERPOOL NA TOTTENHAM WAPO HUKU.


Group A:
Liverpool
Udinese
Young Boys
Anzhi Makhachkala

Group B:
Atletico Madrid
Hapoel Tel-Aviv
Viktoria Plzen
Académica Coimbra
Group C:
Marseille
Fenerbahce
Borussia Mönchengladbach
AEL Limassol
Group D:
Bordeaux
Club Brugge
Newcastle
Maritimo
Group E:
Stuttgart
FC København
Steaua Bukarest
Molde
Group F:
PSV Eindhoven
Napoli
Dnipro Dnipropetrovsk
AIK Stockholm
Group G:
Sporting Lissabon
FC Basel
Genk
Videoton
Group H:
Inter
Rubin Kazan
FK Partizan
Neftci
Group I:
Lyon
Athletic Club
Sparta Prag
Kiryat Shmona
Group J:
Tottenham
Panathinaikos
Lazio
NK Maribor
Group K:
Bayer Leverkusen
Metalist Kharkiv
Rosenborg
Rapid Wien
Group L:
Twente
Hannover 96
Levante
Helsingborg

ASEMAVYO MWAKYEMBE KUHUSU KATIBA-ARUSHA

HIZI NI MOJA YA SABABU TANO KWA NINI TUNAITAJI KATIBA MPYA KWA SASA… WEWE UNASEMAJE!

--Katiba iliyopo sasa ilizingatia hali ya teknologia,ulinzi, ujamaa, utaifa, na mambo mengine mengi yaliyotuhusu moja kwa moja kwa wakati ule hali ambayo sasa imebadilika sana.
--Kuna mikataba mingi serikari iliingia wakati ule, bila kuzingatia kunufaika kwa watanzania waliopo sasa.
--Mikataba ya haki za bidamu Haikuzingatia muktadha wa maadili, mila na desturi zetu za kitanzania.

--Tunaitaji Kubainisha uitaji na utayari wa muungano kisha kuzingatia usawa na uhalali wa mgawanyo wa lasilimali za nchi.
--Tunaitaji Kubainisha hali ya usalama wa Taifa na mipaka yake kwa kuzingatia changamoto za kukua kwa teknologia na ongezeko la watu toka nchi za jirani. 
Mwl.Tuntufye Mwakyembe -Arusha

FUATA LINK ZIFUATAZO KUPATA KAZI MIGODINI.

http://africa.infomine.com/careers/
http://www.infomine.com/careers/jobs/r1c120/south.africa.jobs.aspx
http://africa.infomine.com/careers/jobs/r1c130/tanzania.jobs.aspx
http://www.ihfonline.org/volunteering.php

Je UNATAFUTA KAZI?HII INAKUHUSU.

Internet Cafe Supervisor
ASMET Partners
Date Listed: Aug 21, 2012
Email Address: Click to Email
Phone: +255 784 360 034
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: Aug 31, 2012
Position Description:
To manage a newly established internet cafe business
To supervise office equipment and stationery sles
To supervise mini- ICT training centre
LOCATION: Tabata - Sigara, Segerea
Application Instructions:
Submit brief CV showing experience and proposed salary


NOC-Systems Administrator

Habari Node Limited
Date Listed: Aug 28, 2012
Email Address: Click to Email
Phone: 2504220
Area: Arusha
Application Deadline: Sep 14, 2012
Position Description:
JOB ADVERTISEMENT
Habari Node Limited, the leading ISP in Arusha with a dynamic cutting edge of information technology dealing in computer systems, ready to use Tanzanian software, networking (LAN, Internet), programming, web design, software repairs, and Internet support, seeks to employ aSYSTEM/NOC ADMINISTRATOR.
Location: Arusha and Moshi –Tanzania
Duties: Responsible for monitoring, investigating, reporting and fixing Habari Node Ltd servers and network namely performing monitoring of the DSL cable and wireless connections, maintenance and server installations as well as support clients on the use of Internet.
Qualifications:
•A university graduate majoring in Computer/Telecommunication Engineering or Information technology.
•Good spoken and written English.
•Experience with Unix/Linux Servers Administration
•Understanding of server concepts - DNS, AD, SMTP, IMAP/POP3, Proxy, and Virtual Machines
•Knowledge in TCP/IP design and configuration
•Cisco knowledge, at least CCNA/CCNP with experience in routing ;BGP,OSPF,VPN,VLAN and Qos
•Knowledge in Security
Added Advantage:
Understanding of Firewalls and Network Access Control
Experience in Network traffic monitoring and Load Balancing
Scripting knowledge in: different shells (esp. Bash), and Perl, and text manipulators like (awk, sed)
Knowledge of SQL
Experiences in Internet, Cable, WAN/LAN connections
Application Instructions:
Please forward your Cover letter and CV and any other relevant document to the Email Link above or by post: P.O Box 1215 Arusha-Tanzania before 14th Sept 2012.
By chuma salum

DR.SLAA: NAMHESHIMU SITTA ILA NITAMJIBU...

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema anamvutia pumzi Spika mstaafu wa Bunge, Samuel Sitta, juu ya kauli yake kuwa chama hicho hakina viongozi wa kutosha kufanya kazi ya serikali.
Sitta ambaye pia ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, alitoa kauli hiyo juzi wilayani Karagwe, Mkoa wa Kagera, alipotembelea ofisi za chama chake, akisema CHADEMA haina kiongozi zaidi ya Dk. Slaa.
Sitta alikwenda mbali zaidi akisema kuwa CHADEMA ina viongozi wenye uzoefu wa kuongoza kumbi za muziki na kwamba Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, ni mjuzi wa disko za usiku.
Akizungumza na Tanzania Daima mjini Iringa jana, akiwa katika mwendelezo wa Operesheni ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C), Dk. Slaa, alisema tuhuma hizo ni nzito na lazima azipitie kwa umakini ili aweze kuzitolea maelezo.
“Nimesoma juu ya hizo taarifa na kama Sitta ninayemheshimu, amefikia kumuita mwenyekiti wetu mtaalamu wa kuongoza disko, si kauli nyepesi, hiyo ngoja tuichambue na leo au kesho tutatoa tamko zito juu ya hilo,” alisema Dk. Slaa.
Aliongeza kuwa Sitta ambaye ni Mbunge wa Urambo Mashariki alitoa kauli hiyo akiwa katika jukwaa la siasa, hivyo naye anatafakari kama amjibu akiwa jukwaani au aitishe mkutano na waandishi wa habari.

South African Marikana miners charged with murder.

Police keep watch during the arrival of some of the  mine workers, at a Garankuwa court outside Pretoria (20 August 2012) 
 Six of the 270 arrested miners remain in hospital
Workers arrested at South Africa's Marikana mine have been charged in court with the murder of 34 of their colleagues shot by police.
The 270 workers would be tried under the "common purpose" doctrine because they were in the crowd which confronted police on 16 August, an official said.
Police opened fire, killing 34 miners and sparking a national outcry.
The decision to charge the workers was "madness", said former ruling ANC party youth leader Julius Malema.
"The policemen who killed those people are not in custody, not even one of them. This is madness," said Mr Malema, who was expelled from the ANC (African National Congress) earlier this year following a series of disagreements with President Jacob Zuma.
"The whole world saw the policemen kill those people," Mr Malema said, adding that he would ask defence lawyers to make an urgent application at the high court.
The killing of the 34 was the most deadly police action since South Africa became a democracy in 1994.

Six of the 270 workers remain in hospital, after being wounded in the shooting at the mine owned by Lonmin, the world's third biggest platinum producer, in South Africa's North West province.
The other 264 workers appeared in the Ga Rankuwa magistrates court near the capital, Pretoria.
Their application for bail was rejected and the hearing was adjourned for seven days.
About 100 people protested outside the court, demanding the immediate release of the men.

Analysis
The decision by the South African authorities to charge 270 workers with the murder of 34 of their colleagues who were shot dead by police is politically controversial.
The prosecution is relying on the "common purpose" doctrine, once used by the former white minority regime against black activists fighting for democracy.
At the time, the African National Congress (ANC), the former liberation movement now in power, campaigned against the doctrine.
Now, its critics will accuse it of behaving just like the apartheid regime and turning victims into perpetrators.
The government has already been strongly criticised over the shooting, which has been dubbed the "Marikana massacre" and compared to the atrocities committed by the apartheid-era police.
The National Prosecuting Authority is officially an independent body but most South Africans believe it has close links to the ANC and this decision is likely to lead to more condemnation of President Jacob Zuma's government.

TECHNOLOGIA IPO JUU ZAIDI YA JANA USIWE NYUMA.

Windows 8 spurs new touchscreen hybrid PC designs

HP Envy x2 and Touchsmart 
 HP is pursuing two approaches, a tablet with a keyboard dock, and a traditional laptop with a touchscreen
PC-makers are showing off a range of new computers aimed at convincing users to upgrade after Windows 8 is released.
Microsoft's operating system features a touchscreen interface prompting manufacturers to restyle their laptops.
HP, Toshiba, Dell, Asus and Lenovo are among those showing off new products.
Efforts are split between models in which keyboards detach from screens, ones in which the keys remain attached but can be hidden behind displays, and traditional fixed clamshell designs.
The hybrid tablet/laptop concept had been championed by Intel at the Consumer Electronics Show earlier this year.
Apple - which makes the bestselling tablet on the market - later suggested that mixing the different types of computer together risked a situation in which "you wind up compromising in both and not pleasing either user".
But some analysts say Windows 8 is specifically designed to work in both modes, so the designs may make sense. The operating system has been scheduled for release on 26 October.
Magnetic dock
Dell XPS Duo 12 
 Dell's screen pivots in its bezel allowing it to face away from the keyboard
Hewlett-Packard, the world's largest tech company by sales, has shown off three new models in San Francisco.
Its most portable device -
 the HP Envy x2 - has opted for a design in which its 11in (27.9cm) screen can attach to a keyboard dock, using magnets to guide both parts into place.
The model distinguishes itself from earlier designs by featuring an 8 megapixel camera on the back of the screen allowing it to be used as a camera and the inclusion of NFC (near field communication) technology to allow users to easily share photos, contacts and other content with each other.
HP's two other models both feature touchscreens built into a traditional laptop design.
By contrast Toshiba's Satellite U925t features a screen that can slide over its keyboard. The computer - which was unveiled at the IFA trade show in Berlin - features a bigger 12.5in (31.8cm) display than has been traditional with this format.
Screens that swivel Dell's XPS Duo 12
 takes another approach, allowing its screen to pivot around its bezel. Once the user has spun it around the laptop can be closed leaving the display face-up, ready for use.
Dell also announced the XPS 10 tablet - which is powered by an ARM-based processor rather than the x86 design used in Intel's products.
Toshiba Satellite U925t  
Toshiba's design slides its keyboard behind the screen to become a tablet
This will run Windows RT - Microsoft's first PC system to support ARM's chip architecture. Dell's model is paired with a detachable keyboard dock.
The idea of using a detachable keyboard had been popularised by Asus' Transformer series of Android computers.
The Taiwanese company has now shown off two models running Windows 8 using the Vivo Tab brand: one running Windows RT, and a slightly bigger version running the full system.
Twist and flip Lenovo bucked the trend at IFA releasing three laptops with regular screens that do not accept touch input.
A spokeswoman for the Chinese firm said it believed there would still be a market for such devices after Window 8 became available.
But she highlighted the fact that the firm also planned to formally launch the Ideapad Yoga at a later point.
The hybrid PC uses a hinge to swivel its screen around so that it can be flipped up flat against the back of the keyboard, or part-folded so that it can prop itself up on table.
Ideapad Yoga concept graphic 
 A prototype of Lenovo's Ideapad Yoga was shown to the public earlier this year
"Windows 8 is a tipping point," said David McQueen, principal analyst at the tech consultancy Informa.
"Microsoft has already shown off its Surface design - which looks great with its keyboard that doubles as a cover - and we're now seeing other approaches in which manufacturers are trying to make the machines suitable for both productivity and fun.
"At the moment the firms seems to be throwing lots out and waiting to see what sticks. It will be interesting to see how much product refresh there is - if people buy one model and then want to switch to another design for a different experience, and how quickly they do that.
Source bbc.com

Thursday, August 30, 2012

CCM NZEGA WATISHIANA BASTOLA


     


VITA ya mahasimu wa siku nyingi katika siasa wilayani Nzega, Hussein Bashe na Dk Hamis Kigwangallah imechukua sura mpya, baada ya makada hao wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufikia hatua ya kutishiana kwa bastola hadharani.Hata hivyo, pamoja na taarifa hizo kuthibitishwa na viongozi wa CCM wilayani humo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Bashe na Kigwangallah kwa nyakati tofauti kila mmoja amekanusha madai hayo akimtuhumu mwenzake kuwa ndiye aliyekuwa na silaha.

MAKUNDI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE BAADA YA DRAW YA JANA.

CHAMPIONS LEAGUE DRAW

Group A: Porto, Dynamo Kiev, Paris St Germain, Dinamo Zagreb.



Group B: Arsenal, Schalke, Olympiakos, Montpellier.




Group C: AC Milan, Zenit St Petersburg, Anderlecht, Malaga.




Group D: Real Madrid, Manchester City, Ajax, Borussia Dortmund.




Group E: Chelsea, Shakhtar Donetsk, Juventus, FC Nordsjaelland.




Group F: Bayern Munich, Valencia, Lille, BATE Borisov.




Group G: Barcelona, Benfica, Spartak Moscow, Celtic.




Group H: Manchester United, Braga, Galatasaray, CFR Cluj.

KADA MAARUFU WA CCM AFARIKI DUNIA LEO



MAREHEMU HAWA NGURUME
















Aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya za Kinondoni, Mbarali na Iringa Hawa Ngurume, amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam.Imeelezwa kuwa Ngurume alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Figo, Kansa na vichomi.

Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye,

HAWA JAMAA NDO WANAMNYIMA USINGIZI BARAKA HUSSEIN OBAMA

 
 PAMOJA NA KIMBUNGA ISAAC LAKINI HAWA JAMAA PIA NI MWIBA KWA OBAMA

 


 I get the ideas from both sides, and usually I can see some logic behind what someone is saying. But I don't think we should treat politics like winning a football game, which is exactly what romney and ryan are doing. I also dont think we should be able to tell any woman what to do with her body, or take away her right to services, because of religious beliefs. Thats why this year the choice is clear, OBAMA 2012-Rafiki wakaribu wa OBAMA alimuandikia huu ujumbe akimtia Moyo Obama.

KWA WATEJA WOTE WA TANESCO ZINGATIA HAYA.

TOKA KIJIJINI KWETU HUKO NAKO KUNA MAMBO

Chezea kwetu, Ni habari ya kweli na inasikitisha kwa kweli........Joseph Mapunda mwenye umuri wa miaka 40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama yake Mzazi Condorada Ngonyani 70 baada ya yeye kukubaliana wenyewe yeye na mama yake mzazi kuishi kindoa kama mume na mke alipo ulizwa Mama alikiri kuwa kweli wameishi kindoa kwa miaka 10 na anampenda Mume wake ambaye ni Mtoto wake Joseph Mapunda.
ndo hawa hapa pichani.......

TOKA KIJIWENI SOMEWHERE......

UTANI WA SOKA TOKA KWA WANA ARSENANE

Hivi hawa watoto wa Wenger ni wazima kweli yan walidhani wakikimbilia Barcelona ndo watapata vikombe??embu yaone yanavyotoa macho baada ya dkk 90....HALA MADRID


HATIMAYE MORINYO ATAMBA MBELE YA BARCA KTK ECLASICO USIKU WAKUAMKIA LEO.







Its a great feeling winning the Supercopa with our supporters. Thank you. Hala Madrid! 

ASEMAVYO MWAKYEMBE - ARUSHA


Hali ninayoiona sasa katika Taifa letu ni kuwa watu waliokuwa na uwezo wa kulisaidia Taifa kwa maombi na kuugua kwa ajili ya Nchi, wameanza kupotelea katika mifumo ya kisiasa, watu waliokuwa na mzigo wa kufunga na kulia kila siku mbele za Mungu kwa ajili ya nchi, sasa wameanza kupungua sana, na waliobaki wanaanza kujaribu kupigana mwilini moja kwa moja na kusahau asili ya Tatizo, yaani tumeanza kupambana na mashina na kusahau mizizi, tukumbuke neno linasema “Enyi wenye kumkumbusha Mungu msiwe na kimya wala msimwache yeye akae kimya mpaka atakapofanya imara kuta za yerusalemu … maana yake ni tuendelee kuomba na kuomba mpaka atakapotenda. na nivizuri tukaelewa kuwa kila aliyempokea kristo ni wajibu wake kumkumbusha Mungu kwa maombi na sara kwa kulia na toba kila siku kwa habari ya nini tunataka kitokee juu ya Taifa

letu. Lengo langu ni hili tuelewe kuwa pamoja na mambo mengine yote tunayohusika nayo kisiasa, misimamo tuliyonayo kisiasa bado Mungu muumba wa mbingu na nchi ndie mwenye majibu ya nini hasa watanzania tunahitaji kwa sasa, hivyo basi ninakutia moyo kuendelea mbele na harakati za kutaka kuona mabadiliko juu ya nchi lakini ukiizingatia mistari ifuatayo Yoh 15:5b “Maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lolote…” Haya ni maneno ya Bwana Yesu kwa kanisa akionyesha kuwa tunaitaji msaada wa Mungu kwa asilimia mia moja kwa kila jambo tunalolihitaji.

Lakini pia Mtume Paulo anasema “kushindana kwetu sisi si juu ya Damu na nyama; Bali ni juu ya falme na mamlaka,juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa Roho” hii ni Efeso 6:12. Sasa basi tuelewe kuwa huku rohoni ndiko kwenye chanzo cha kila tatizo ndiko kwenye mizizi ndiko kwenye mifumo ndiko huwa kunaitwa jikoni, hivyo tuanze kujifunza kuanzia jikoni kwenda sebuleni na si kuanzia sebuleni alafu tukikosa tunachokitaka mezani ndipo twende jikoni, tutakuwa tumechelewa sana. Kumbuka Fil 4:6 nini anasema “Msijisumbue kwa neno lolote bali katika kila neno kwa kuomba …. Haja zenu na zijulikane na Mungu …”, anaposema msijisumbue kwa neno lolote hana maana tusifanye hapana, isipokuwa tupoamua kufanya jambo lolote tukumbuke kuwa Mungu atatakiwa kuhuhusika kwa asilimia mia moja , faida zake ni kuwa atakupa ulinzi, atakupa hekima na atakuwa akikuongoza nini cha kufanya, nini kusudi lake, na hivyo utafanikiwa chini ya mkono wa Mungu …

Itaendelea
Mkaribishe na mwingine kusoma ujumbe huu 
Tuntufye Mwakyembe wa CHANGING YOUTH CHANGING NATION-ARUSHA

KIBWAGIZO CHA SIKU TOKA KWA MWANA LIBENEKE HILI TOKA MOSHI.

Hahahaaaa CHADEMA bwana 2lizindua album ya "OPERESHENI SANGARA" ikafanya vizuri sana kwa wananchi na waka2unga mkono 2010 tukawashukuru na 2naendelea kuwashukuru japo bado wanaitaji "copy" nyingi zaidi. 2012 umefanyika uzinduzi mkubwa wa album ya "MOVEMENT FOR CHANGE" Mkoani Arusha imeanza kuuzika kwakishindo kuanzia Arumeru na sehemu mbalimbali nchin na mafanikio yake 2nayaona kuliko ya album iliyopita kwasababu 2naona uhitataji wake hii ni maradufu kwa hiyo 2meagiza zigongwe "copy" zaidi ya milion 3 mpya. Hapa hakuna "piracy" koz "copy" 2nauza wenyewe. Kwenye "show" ndo usiseme coz 2mefunika mbaya kila mkoa 2kishusha hema wa2 kibao na kama unvyofaham "show" ndo zinalipa, Ebwana CHADEMA nooouwma! haijawah tokea hii ni zaidi ya Bab Kubwa! Hahahahaaa kwahiyo muda c mrefu nitakuletea mahojiano ya moja kwa moja kutoka kule Hai Moshi kutoka kwa msimamizi wa "Ngoma" hizi za CHADEMA aki2pa cri ya mafanikio haya makubwa. Stay tuned!!! Rrrrrr.......dio.. CHADEMA Miambili na moja nukta tano (2015) CDM Fm! hahahaaa.
Na Mwanalibeneke Hili Daudi Massawe Himo.
0717932853

WITO KWA WANACHADEMA JIMBO LA VUNJO

kila mmoja ahimize utekelezaji wa chaguzi za chama zinazoendelea ususani ngazi ya MSINGI NA MATAWI ambao unaelekea kufikia tamati si kipindi kirefu sana.huu ni wajibu wa kila mwana vunjo,ifahamike chama moja ya nguzo za chama ni UONGOZI BORA NDANI NA NJE YA CHAMA.

WITO WANGU:
Vijana wa vunjo tushauriane kujitokeza kushiriki katika chaguzi hizi ili kuongeza kasi ya utendaji ndani ya chama hususani ngazi hizi za chini ambazo zinahitaji wawajibikaji maradufu ili kuweza kukijenga chama katika ngazi ya kijiji na mtaa.MAWAZO,NGUVU NA UTASHI wa kuwajibika tunao.
"Problems are there..we are LEADERS,we are able to SOLVE".

ANGALIZO:
Umakini mkubwa ndani ya chama na mabaraza ya chama kwa ujumla katika chaguzi hizi (KUZUIA MAMLUKI).
Na mwanaharakati Emanueli Mlaki

Wednesday, August 29, 2012

Christopher-Diana-Mwakasege Mana-Ministry



Bwana Yesu Asifiwe.Najua wengi mmeulizia semina ya Arusha na Dar es salaam itafanyika lini,tarehe za semina ya Arusha na Dar ni hizi
9-16 Sept 2012- Arusha,Uwanja wa reli
23-30 Sept 2012- Dar-es- Salaam,Uwanja wa Biafra
Mungu awabariki.

TUPO WANGAPI????

Tuko wangapi? Tulizana
"...Watu wengi walio katika mahusiano ya wapenzi wengi kwa wakati mmoja wanafikiri kwamba hawako katika hatari ya maambukizi ya magonjwa ya ngono ukiwemo UKIMWI kwa sababu wana wapenzi wawili au watatu ambao wamekuwa nao kwa muda mrefu. Lakini kuna uwezekano wa hawa wapenzi wakati huohuo wakawa na wapenzi wengine ambao hawafahamiani. Kwa hali hii, wapenzi hawa wanajikuta wakiwa wameunganishwa katika mtandao mkubwa wa ngono ambao unamuweka kila mmoja wao katika hatari ya kuambikizwa virusi vya UKIMWI..." Dr Fatma Mrisho, Chairperson, TACAIDS

POLISI WASEMA ALIYEKUFA KWENYE MAANDAMANO MORO HAKUPIGWA RISASI

POLISI WASEMA ALIYEKUFA KWENYE MAANDAMANO MORO HAKUPIGWA RISASI

Sarah Mgaji, Morogoro  Yetu
Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro limesema kuwa marehemu  Ally Singano aliyeuawa wakati wa vurugu zailizotokea mkoani humo juzi hakupigwa risasi bali alikufa kutokana na kurushiwa kitu chenya ncha kali kilichosababishamajeraha na kupoteza maisha.
Ally Singano aliuawa katika vurugu zilizotokea baada ya Polisi kuzuia maandamano yaliyokuwa yakifanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) mjini Morogoro.
Akitoa taarifa ya uchunguzi wa mwili wa marehemu uliofanyika chini ya madaktari wawili Kamanda wa Polisi Mkoani humo Faustine Shilogile amesema kuwa uchunguzi uliofanyika umebaini kuwa marehemu Ally Singano alikuwa na majeraha kichwani ambayo yalisababishwa na kurushiwa kitu kilichomgonga kichwani  na kumsababishia majeraha hayo makubwa hadi kufikwa na mauti.
Kamanda Shilogile amesema taarifa za kutumika risasi za moto na kusababisha kifo cha kijana huyo sio sahihi na kwamba ni mabomu ya machozi ndiyo yaliyotumika kutawanya maandamano hayo.
Aidha kamanda Shilogile amesema uchunguzi zaidi unaendelea ili kubaini ni kitu gani kilichotumika kumpiga mtu huyo na nani aliyehusika na kumpiga ikiwa ni pamoja na kuwafikisha mahakamani wale wote walioandaa maandamano hayo.
Hata hivyo hadi sasa hakuna mtu anayeshikiliwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kijana hao.
Jana jioni Polisi walisafirisha miwili wa marehemu kwenda mkoani Tanga ambako ndiyo mazishi yatafanyika.

CHEKA KIDOGO.

X
KABLA HUJAWEKA TONE YAKO YA SIMU,FIKIRIA KWANZA MAZINGIRA AMBAYO UTAKUWEPO,,MAANA KILICHOMKUTA HUYU USTADHI,,,

THE SEAL RAISES QUESTIONS ABOUT BIN LADEN'S DEARTH

WASHINGTON (AP) — A firsthand account of the Navy SEAL raid that killed Osama bin Laden contradicts previous accounts by administration officials, raising questions as to whether the terror mastermind presented a clear threat when SEALs first fired upon him.
Bin Laden apparently was hit in the head when he looked out of his bedroom door into the top-floor hallway of his compound as SEALs rushed up a narrow stairwell in his direction, according to former Navy SEAL Matt Bissonnette, writing under the pseudonym Mark Owen in "No Easy Day." The book is to be published next week by Penguin Group (USA)'s Dutton imprint.
Bissonnette says he was directly behind a "point man" going up the stairs in the pitch black hallway. "Less than five steps" from top of the stairs, he heard "suppressed" gunfire: "BOP. BOP." The point man had seen a "man peeking out of the door" on the right side of the hallway.
The author writes that bin Laden ducked back into his bedroom and the SEALs followed, only to find the terrorist crumpled on the floor in a pool of blood with a hole visible on the right side of his head and two women wailing over his body.
Bissonnette says the point man pulled the two women out of the way and shoved them into a corner and he and the other SEALs trained their guns' laser sites on bin Laden's still-twitching body, shooting him several times until he lay motionless. The SEALs later found two weapons stored by the doorway, untouched, the author said.
In the account related by administration officials after the raid in Pakistan, the SEALs shot bin Laden only after he ducked back into the bedroom because they assumed he might be reaching for a weapon.
White House spokesman Tommy Vietor would not comment on the apparent contradiction late Tuesday. But he said in an email, "As President Obama said on the night that justice was brought to Osama bin Laden, 'We give thanks for the men who carried out this operation, for they exemplify the professionalism, patriotism and unparalleled courage of those who serve our country.'"
"No Easy Day" was due out Sept. 11, but Dutton announced the book would be available a week early, Sept. 4, because of a surge of orders due to advance publicity that drove the book to the top of the Amazon.com and Barnes & Noble.com best-seller lists.
The Associated Press purchased a copy of the book Tuesday.
The account is sure to again raise questions as to whether the raid was intended to capture or simply to kill bin Laden. Bissonette writes that during a pre-raid briefing, a lawyer from "either" the White House or Defense Department told them that they were not on an assassination mission. According to Bissonnette, the lawyer said that if bin Laden was "naked with his hands up," they should not "engage" him. If bin Laden did not pose a threat, they should "detain him."
In another possibly uncomfortable revelation for U.S. officials who say bin Laden's body was treated with dignity before being given a full Muslim burial at sea, the author reveals that in the cramped helicopter flight out of the compound, one of the SEALs called "Walt" — one of the pseudonyms the author used for his fellow SEALs — was sitting on bin Laden's chest as the body lay at the author's feet in the middle of the cabin, for the short flight to a refueling stop inside Pakistan where a third helicopter was waiting.
This is common practice, as troops sometimes must sit on their own war dead in packed helicopters. Space was cramped because one of the helicopters had crashed in the initial assault, leaving little space for the roughly two dozen commandos in the two aircraft that remained. When the commandos reached the third aircraft, bin Laden's body was moved to it.
Bissonnette writes disparagingly that none of the SEALs were fans of President Barack Obama and knew that his administration would take credit for ordering the May 2011 raid. One of the SEALs said after the mission that they had just gotten Obama re-elected by carrying out the raid.
But he says they respected him as commander in chief and for giving the operation the go-ahead.
Bissonnette writes less flatteringly of meeting Vice President Joe Biden along with Obama at the headquarters of the 160th Special Operations Aviation Regiment after the raid. He says Biden told "lame jokes" no one understood, reminding him of "someone's drunken uncle at Christmas dinner."
Beyond such embarrassing observations, U.S. officials fear the book may include classified information, as it did not undergo the formal review required by the Pentagon for works published by former or current Defense Department employees.
Officials from the Pentagon and the CIA, which commanded the mission, are examining the manuscript for possible disclosure of classified information and could take legal action against the author.
In a statement provided to The Associated Press, the author says he did "not disclose confidential or sensitive information that would compromise national security in any way."
Bissonnette's real name was first revealed by Fox News and confirmed to The Associated Press.
Jihadists on al-Qaida websites have posted purported photos of the author, calling for his murder.

Team Code of Honor The Secrets of Champions in Business and in Life {Blaire Singer}

Every great team, culture, society, religion, or business that has endured time, adversity, and challenge has always had one thing in common: a set of simple but powerful rules that govern the internal behaviors and expectations of that group, The Code of Honor.
And if sales is the number one skill in business, number two has to be the ability to bring ordinary people together to build a championship team. This does not happen by chance or by the simple accumulation of talent. The Code is the core ingredient to creating winning organizations.
This book is a step-by-step guide for any individual, group, or company to actually create a Code of Honor specific to their team. Team Code of Honor is critical to the Rich Dad Advisor series because its processes bridge all facets of business, investment, entrepreneurship, and even personal life. Through graphic examples, stories, and case studies you can learn how a Code is created, maintained, enforced and used for rapid and controlled growth of any entity.
Go for it if it inspire you...............

Christopher & Diana Mwakasege(Mana Ministry)


Shalom!!
Hizi ndio namba za simu za huduma,+255767511633,+255754211633,+255715511633. Tafadhali tunaomba usipige ila tuma message.Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa na Tigo Pesa.
Mungu awabariki!

The Johari Window Using Self-Discovery and Communication to Build Trust

Have you ever been part of a team where everyone was completely open with one another?

If so, then the chances are that you worked extremely effectively together. You knew your co-workers very well, and there was a solid foundation of trust between you. As a result of this positive working environment, you probably accomplished a great deal with this group.

Most of us realize that teams rely on trust in order to function productively, but how do you go about building that trust?
Johari Window
The Johari Window improves communication and trust.
© iStockphoto/Photomorphic
The Johari Window is a model that helps you do this, and it helps you learn important things about yourself, and so develop as a human being.

In this article we'll look at how the Johari Window works, and we'll see how you can use it with your team to improve communication and trust.

About the Model

The word "Johari" is taken from the names of Joseph Luft and Harry Ingham, who developed the model in 1955.

There are two key ideas behind the tool:
  1. That you can build trust with others by disclosing information about yourself.

  2. That, with the help of feedback from others, you can learn about yourself and come to terms with personal issues.
By explaining the idea of the Johari Window, you can help team members to understand the value of self-disclosure, and you can encourage them to give, and accept, constructive feedback.

Done sensitively, this can help people build better, more trusting relationships with one another, solve issues, and work more effectively as a team.

Explaining the Johari Window

The Johari Window is shown as a four-quadrant grid, which you can see in the diagram below.
The Johari Window

The four quadrants are:

1. Open Area (Quadrant 1)

This quadrant represents the things that you know about yourself, and the things that others know about you. This includes your behavior, knowledge, skills, attitudes, and "public" history.

2. Blind Area (Quadrant 2)

This quadrant represents things about you that you aren't aware of, but that are known by others.

This can include simple information that you do not know, or it can involve deep issues (for example, feelings of inadequacy, incompetence, unworthiness, or rejection), which are often difficult for individuals to face directly, and yet can be seen by others.

3. Hidden Area (Quadrant 3)

This quadrant represents things that you know about yourself, but that others don't know.

4. Unknown Area (Quadrant 4)

This last quadrant represents things that are unknown by you, and are unknown by others.

Key Points

Joseph Luft and Harry Ingham developed the Johari Window in 1955. The tool is a useful visual representation of a person's character, and is represented as a four-quadrant grid.
The goal of the Johari Window is to demonstrate the importance of open communication, and to explain its effect on group trust. The model also teaches you the importance of self-disclosure, and shows how group feedback can help you grow, both personally and professionally.

Your Open Area is expanded vertically with self-disclosure, and horizontally with feedback from others on your team. By encouraging healthy self-disclosure and sensitive feedback, you can build a stronger and more effective team.

The ADDIE Model.

Imagine that you've just been asked to develop your organization's orientation program for new hires.

This involves a lot of work, and there's an enormous amount of information that you need to cover. To put it mildly, you're feeling overwhelmed by everything that you need to do!

So, what should you focus on? How can you ensure that your training is engaging and interesting? And, with all the work that goes into designing a learning experience, how can you make sure that you don't forget an important step?
The ADDIE Model
Learn how to train your team more effectively.
© iStockphoto/Ridofranz
In this article, we'll look at how you can use the ADDIE Model to design effective learning experiences for your team.

About the Model

Although its origins are unknown, training designers and instructors have used the ADDIE Model for several decades as a guide for building effective, relevant training sessions.

ADDIE is an acronym that stands for the steps needed to prepare an effective learning session:
  1. Analysis.
  2. Design.
  3. Development.
  4. Implementation.
  5. Evaluation.
These steps may look quite obvious, but there are plenty of useful prompts under each of these headers that can help you improve the training that you deliver.

Let's look at each phase in greater detail, and examine how you can work through each step to create better training programs.NEXT DAY

TUWAZE NNJE YA BOX

Tuwaze Nje Ya Box hasa Serikali Ya Tanzania....Kwa Kawaida Mtoto ukimzoesha viboko anazoea Viboko baadae ukimchapa hata kuwa anaumia kama awali. Kume kuwa na Vitendo Vya Utumiaji Nguvu Sana sikuhizi baada ya Wananchi Kugoma Kwa Makusudi, ama Kwa Itikadi zao, Serikali Inatumia Nguvu Hata Watu kwenda Kuhesabiwa??Yaani how comes??Serikali Inatumia Nguvu Kuzuia Maandamano Ya Vyama Vya Siasa, Serikali Imetumia Nguvu Kuwaondoa Wamachinga, Serikali Inatumia Nguvu Kuwazuia Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu, Serikali Inatumia Nguvu Kuzuia Magazeti kama Mwanahalisi, Na Mwisho Wa Siku Itatumia Nguvu Kuzuia tusiandike Facebook......My Worry Kuna Siku Wananchi Watazoea Matumizi Ya Nguvu hasa Mabomu Ya Machozi na Risasi.

Ukiona baba Yako Mzazi anasema 'Ujue Mimi Baba Yako??" basi Ujue either umemdharau au amepoteza uwezo wa Kuwa Baba limebaki tu Jina.
VITA KUBWA YAENDELEA NDANI YA CCM
•  Sumaye, Lowassa, Chenge wakimbia kundi la kifo

WAKATI leo ndiyo siku ya mwisho kuchukua na kurejesha fomu za kuwania uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya wilaya, mkoa na taifa, mpambano wa kuwania nafasi hizo umekuwa ni vita kali iliyojikita katika kulipizana visasi, chuki na kuibua makundi ya urais mwaka 2015.
Mnyukano mkali upo katika kuwania uongozi wa jumuiya za chama hicho ambazo ni Umoja wa Vijana (UVCCM), Wanawake (UWT) na Wazazi.
Nafasi zingine za wajumbe wa NEC ambazo zimekuwa na ushindani mkubwa ni kupitia kapu maalumu, maarufu kwa jina la ‘Kundi la Kifo’ ambalo safari hii lina viti 10 Bara na 10 Visiwani.
Ushindani uliopo katika kundi hilo, umesababisha baadhi ya vigogo ambao wamekuwa na kawaida kuwania NEC kupitia kundi hilo, kukimbia na safari hii wanaomba nafasi hizo kupitia wilaya zao.
Baadhi ya vigogo waliokimbia kundi la kifo na wanaotajwa kutaka kuwania urais mwaka 2015 ni pamoja na mawaziri wakuu wastaafu, Edward Lowassa na Fredrick Sumaye.
Sumaye ameachukua fomu ya NEC wiki iliyopita wilayani Hanang, akichuana vikali na Mbunge wa Hanang, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu.
Uamuzi wa Nagu ambaye amepata kuwa meneja kampeni wa Sumaye katika mbio za urais mwaka 2005, umewashangaza wengi kwani wadadisi wa masuala ya siasa nje na ndani ya CCM, wanaamini kuwa mafanikio yake kisiasa, yametokana na waziri mkuu huyo mstaafu.
Wakati Sumaye akikimbilia Hanang, Lowassa naye amekimbilia wilayani kwake Monduli ambako amechukua fomu ya NEC.
Mwingine aliyekimbilia wilayani, ni Mwanasheria Mkuu mstaafu na Mbunge wa Bariadi Mashariki, Andrew Chenge.
Vigogo wengine waliokimbia kundi hilo ni Kapteni John Komba na Christopher Gachuma.
Duru za siasa ambazo gazeti hili imezipata, zinasema kuwa vigogo hao wameamua kukimbilia wilayani kukacha kundi la kifo baada ya CCM kufanya mabadiliko ya katiba ambapo kundi hilo litakuwa na viti kumi tu badala ya 20.
“Kundi la kifo safari hii lina viti kumi tu badala ya 20, na mara nyingi kumekuwa na kura za kiitifaki. Uwezekano wa kushindwa ni mkubwa mno, lakini pia ukipata kwa kura chache na kama una malengo ya kisiasa kwa 2015, haikupi nafasi nzuri. Ndiyo maana wazee wameona watokee kwenye wilaya zao,” alisema mmoja wa viongozi wa CCM.
Sababu nyingine inayotajwa vigogo hao kukimbia kundi la kifo, ni kutokana na ukweli kwamba endapo sekretarieti yote itaamua kugombea, nafasi sita kati ya kumi zinaweza kuchukuliwa nao, hivyo waombaji wengine wakalazimika kupigana vikumbo kuwania nafasi nne.
Mnyukano nafasi za mikoa
Mnyukano mkali upo katika nafasi za wenyeviti wa mikoa.
Mkoani Shinyanga, Mwenyekiti anayetetea kiti chake, Khamis Mgeja ameshikwa shati na hasimu wake kisiasa, Mbunge wa Kahama, James Lembeli.
Kabla hata ya zoezi la kuchukua fomu, mahasimu hawa walikuwa wakirushiana maneno, huku Mgeja akimfananisha Lembeli sawa na sisimizi ambaye hawezi kumyima usingizi.
Mkoani Dar es Salaam, Mwenyekiti wa sasa, John Guninita amekaliwa kooni na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa, Ramadhani Madabida wakati Dodoma Adam Kimbisa anachuana na mkongwe William Kusila.
Aidha, kazi ipo mkoani Mwanza ambako Mbunge wa zamani wa Ilemela, Antony Diallo ameamua kuchukua fomu kumkabili mwenyekiti wa sasa, Clementi Mabina na mkoani Mara Makongoro Nyerere yuko jino kwa jino na Kisieri Chambili.
Wenyekiti Jumuiya ya Wazazi
Katika uchaguzi huo, unaotarajiwa kufanyika Novemba, Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono amerejea tena kuwania nafasi ya mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa.
Katika uchaguzi uliopita, Mkono aligombea kiti hicho, lakini jina lake lilienguliwa na NEC kwa sababu ambazo hadi sasa hazijajulikana.
Mkono anachuana na Mbunge wa Bukoba Vijijini, Joson Rweikiza, Matha Mlata na Salum Chicago.
Kwa upande wa UWT, Waziri Sofia Simba anaoneshana kazi na Mbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango. Tayari wagombea hao wanaopewa nafasi kubwa, wameanza tambo za kisiasa.
Kazi ipo pia wilayani Nzega ambako Mbunge wa Nzega, Khamis Kingwangala na hasimu wake kisiasa, Hussein Bashe watachuana kuwania NEC kupitia wilaya hiyo.