Monday, November 5, 2012

CHEKI PICHA MASANJA MKANDAMIZAJI ALIVYO ZINDUA ALBAM YAKE YA HAKUNA JIPYA NDANI YA ARUSHA



BEPARI LA KIHAYA...MPOKI AKIVUNJA WATU MBAVU...!!!
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha alikuwepo katika Tamasha la uzinduzi wa albam ya Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Annastazia Mukabwa alikuwepo katika Tamasha la uzinduzi wa albam ya Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Hapa ni kijeshi kijeshi  katika Tamasha la uzinduzi wa albam yake, Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Hapa ni mbele eeh Tembea...!!!  katika Tamasha la uzinduzi wa albam yake, Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Hapa ni kwa mwendo wa kuinama inama kijeshi....!!!  katika Tamasha la uzinduzi wa albam yake, Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Hapa ni vazi la uzinduzi...  katika Tamasha la uzinduzi wa albam yake, Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Hapa ni vazi la uzinduzi...huku akiogopa mvua ....  katika Tamasha la uzinduzi wa albam yake, Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Hapa masanja alisema huyu ni mdogo wake Joti(utani)......!!!  katika Tamasha la uzinduzi wa albam yake, Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Hapa ni helikopta ya Mh. Dr. Apostle Georg Davi ikitua katika Tamasha la uzinduzi wa albam Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha pamoja na Dr. Georg Davi wakifurahia Tamasha la uzinduzi wa albam ya Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Hivi ni moja ya vituko vyake ....vya kunywa juice ya mtoto wa watu!!! katika Tamasha la uzinduzi wa albam yake Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Mstahiki ,Dr. Georg Davi akiongea machache kabla ya kutoa kiasi cha Milioni Moja (1,000,00/=),pia Mstahiki meya wa Jiji la Arusha alitoa Milioni Mbili(2,000,000/=) katika Tamasha la uzinduzi wa albam ya Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Keki Mbili zilizokatwa kuashiria kuanza kwa kuchangia pesa kwa kila mtu, katika Tamasha la uzinduzi wa albam ya Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
JOTI....akigawa KEKI kuashiria ushirikiano mwema kati yao katika Tamasha la uzinduzi wa albam ya Masanja Mkandamizaji 'Hakuna Jipya' katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.-chanco Audifacejackson.blogsport.com        

No comments:

Post a Comment