TANZIA-my brother and my adviser-Ndg. Anselm L. Mrema
Katibu wa Bunge, anaskitika kuwataarifu kifo cha aliyekuwa
mfanya kazi wa ofisi ya Bunge ktk idara ya shughuli za Bunge, Mkurugenzi
Msaidizi Ndg. Anselm L. Mrema kilichotokea jana usiku tarehe 10.11.2013
ktk Hospitali ya Mkoa, Dodoma.
Ofisi inaendelea na taratibu za mazishi kwa kushirikiana na familia
ya marehemu, tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kutokana na msiba huo.
mazishi yanatarajiwa kufanyika moshi-kilimanjaro.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen!
No comments:
Post a Comment