Niko kwenye uwanja wa Ngarenaro kuwaletea kinacho jili kwenye mkutano wa chadema.....
Picha zina kuja...
Wananchi wakiuliza maswali kwa mbunge wao( Godbless Lema)
Mke wa Godbless Lema akielezea namna alivyo jisikia siku alipo tumiwa ujumbe huo wa picha amesema hata katishwa tamaa ndiyo kwanza kasi inaongezeka
Lema akiwa ameshikilia picha alizo chafuliwa..Picha zikichomwa moto baada ya wananchi kuzi kataa/ kumzuia Mbunge Godbless lema asiwagawie...
na mdau jf
No comments:
Post a Comment