Mkuu wa vipindi earadiofm Nasser Kingu akiongea machache kwenye press conference |
Wasanii hao mapacha kesho jukwaani watapiga muziki wa LIVE na bendi kwa masaa mawili mfululizo huku wakipewa shavu na Lady Jay Dee, Professa Jay, Joh Makini na Ben Pol.
Tamasha hilo kubwa la muziki kwa mwaka huu, linatarajiwa kuanza saa 1 jioni bila kuchelewa.
No comments:
Post a Comment