Kampuni ya simu ya Motorola
inayomilikiwa na Google sasa imezindua simu ya kisasa ya gharama ndogo
ikiwa na sifa ambazo hupatikana kwenye simu za gharama kubwa.
Simu hizo aina ya Moto G zitauzwa kwa pauni 135
nchini Uingereza na dola 179 nchini Marekani.Wachambuzi wa mambo wanaona
kuwa soko la simu hizi mpya litaongezeka maradufu.
No comments:
Post a Comment