Rubani wa ndege alilazimika kuirudisha tena angani ndege ya hiyo, Monarch Airlines A321 baada ya ndege nyingine kuwa mbele yake kwenye runway. Ndege hiyo iliuzunguka uwanja na kutua tena dakika 10 baadaye.
Baada ya tukio hilo, Rio Ferdinand aliandika’Landed in Germany….just….I’ve only just recovered after that choppy landing!
No comments:
Post a Comment