Kamati hizo ni:
- Kamati ya maendeleo ya Jamii iko Malaysia itarejea tarehe 26/11
- Kamati ya Miundombinu itakwenda Malaysia tarehe 22/11
- Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa itakwenda Ireland
- Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iko DUBAI
- Kamati ya Huduma za Jamii -INDIA
- Kamati ya Ukimwi- Afrika Kusini
- Kamati ya Katiba ,Utawala na sheria ipo NAIROBI na itakwenda na GHANA
- Kamati ya Uchumi ,Viwanda na Biashara bado haijataja nchi itakayokwenda
Kamati hizo zinamchanganuo wa wajumbe kwa idadi ifuatayo
- Uchumi Viwanda na Biashara inawajumbe 22
- Kamati ya maendeleo ya Jamii ina wajumbe 21
- Kamati ya LAAC ina wajumbe 18
- Kamati ya Huduma ya Jamii ina wajumbe 21
- Kamati ya PAC ina wajumbe 18
- Kamati ya Ukimwi ina wajumbe 22
- Kamati ya Katiba, Utawala na sheria ina wajumbe 17
source Gazeti Habari leo:
No comments:
Post a Comment