Hii nimekuta kwa zitto Kabwe Muda huu,pitia na wewe wa CHADEMA
Dr.
Willbrod Slaa " hatuna tatizo hata kidogo na Zitto Kabwe. Huyu ni Naibu
Katibu Mkuu wetu, kama kuna tatizo jambo ambalo ameleta tutamaliza kwa
mujibu wa taratibu na tutaendelea na kazi na umoja wetu"
"
waraka huo mchafu umeandikwa na viongozi wa CCM na kutoka idara nyeti ya
serikali" chama kitapata taarifa zao na kuanika majina yao na nafasi
zao
Edwin Mtei " haya mambo hayatubabaishi, tunajua ni uongo
uliotungwa ili kutugombanisha" ..."kesho unaweza kusikia Zitto amehongwa
hiki au kile. Keshokutwa ukasikia Slaa amehongwa hiki baadaye Mbowe
amefanya hivi. Lengo kutuvuruga"
Mabere Marando " andishi hili
ni feki. Nimeliangalia andishi lote. Nimejiridhisha kwamba
limetengenezwa na watu wasiotakia mema chadema"
Maneno mazuri
sana yenye ukweli mtupu. Hata hivyo hekaya hii imesambazwa na wanachama
wa CHADEMA na mmoja ni kiongozi wa mkoa na akaweka kwenye blogu yake.
Viongozi wengine waka 'like' kwenye jamii forums. Hawa wametumwa na
usalama na CCM?
No comments:
Post a Comment