Rais kikwete aweka jiwe la Msingi katika makao makuu mapya ya CCM Dodoma,Afungua mkutano mkuu wa nane
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu wa Rais Dkt. Mohamed
Gharib Bilal,Rais wa Zanzibar,Dkt.Ali Mohamed Shein,Makamu wa Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Amana Abeid Karume 1pamoja na Makamu wa CCm Bara Pius
Msekwa wakifunua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi kuzindua
ujenzi wa makao mapya ya CCM mjini Dodoma jana.
(Picha na Freddy Maro Ikulu)
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa mkutano
Mkuu wa nane wa Chama cha Mapinduzi wakati alipokuwa akiingia katika
ukumbi wa Kizota mjini Dodoma jana.
Baadhi ya wajumbe wamkutano mkuu wa nane wa CCM wakati wa ufunguzi wa mkutano huo mjini Dodoma jana.
Baadhi ya wajumbe wamkutano mkuu wa nane wa CCM wakati wa ufunguzi wa mkutano huo mjini Dodoma jana.
Mwenyekiti
wa CCM,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa chama
cha upinzani cha TLP Augustine Lyatonga Mrema wakati wa sherehe za
ufunguzi wa mkutano mkuu wa nane wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa
Kizota mjini Dodoma jana.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya
ufnugnuzi wakati wa mkutano Mkuu wa nane wa CCM katika ukumbi wa Kizota
mjini Dodoma jana.Kushoto ni Makamu wa CCM Zanzibar Mhe.Amani Abeid
Karume na kulia ni makamu mwenyekiti wa CCM Bara Mhe.Pius Msekwa
No comments:
Post a Comment