Friday, December 6, 2013

DROO YA KOMBE LA DUNIA 2014,HAYA NDO MAKUNDI.

DROO YA RIO 2014: Droo ya mwisho ya Kombe la Dunia Rio (FIFA) 2014 imefanyika usiku huu, Cameroon yatupwa Kundi A na wenyeji Brazil; Colombia na Ivory Coast pamoja Kundi C huku Nigeria ikiwa Kundi F na Argentina wakati Ghana ikiminywa Kundi G na Mjerumani. Brazil itacheza mechi ya ufunguzi na Croatia mjini Sao Paolo June 12.
Kupata taswira kamili, tazama kiambatanishi kwa ukaribu halafu tuambie,
 LIKO WAPI KUNDI LA KIFO?

No comments:

Post a Comment