Aina Tatu za Wasichana You Should Know Before Kuanza Dating….
1. Wild Girls/Wamejilea Wenyewe/Wamejisimamia Wenyewe kwa Kila Kitu.
Mara nyingi wasichana wa style hi wanakuwa na tatizo la kutokuwa na
picha halisi ya mwanaume.Mara nyingi hawa huwa na imagination ya
mwanaume alivyo but sio mwanaume halisi.Mara nyingi wasichana ya style
hii unapokuwa nao kwenye mahusiano jua tu lolote linaweza tokea muda
wowote.Maana mwanaume anapotofautiana na picha aliyo nayo kichwani kwa
namna yoyote ujue ugomvi unaweza kuanza na mwisho wa siku kunakuwa na
ugomvi usioisha maana hawakawahi kujua namna mwanamume alivyo
anavyoishi,anavyobehave,anavyoongea yaani tabia na utofauti uliopo kati
ya mwanamke na mwanaume.Yaani hawa huwa na tabia za kiume huku wakisahau
wao ni wanawake maana tangu mwanzo walijisimamia wenyewe.Wao hutaka
mwanaume afanye sawasawa na picha zao vichwani mwao.
Wasichana wa
stye hii mara nyingi huwa hata mahusiano yao huwa hayadumu sana na wao
kubadilisha wanaume ni jambo la kawaida na kwao huwa ni sawa kwa sababu
wako tayari kutekeleza ndoto za picha zao kichwani kuliko uhalisia wa
maisha ulivyo.
2. Wasichana waliolelewa na Wazazi Wote yaani Baba na Mama( Familia)
Mara nyingi wasichana wa namna hii hujifunza malezi na namna ya kuishi
na mwanaume kwa ukamilifu.Mara nyingi huelewa namna ambavyo mwanaume
alivyo kupitia baba zao maana Baba kwenye familia hubeba picha halisi ya
mwanaume.Ikitokea baba akaharibu kwenye familia mara nyingi wasichana
hawa hutoka na picha mbaya ya mwanamume.Mara nyingi wanapoanzisha
mahusiano na mwanaume wengi wao hubeba athari za malezi walizozipata
kwa Baba yao na Hukuta kila unachofanya utasikia Baba yetu hufanya hivi
au anaweza asikuambie lakini anakuwa na mlinganyo wake kichwani.Mara
nyingi wasichana wa style hii huwa na ugomvi na boyfriend zao ambao
hauna kichwa wala miguu kumbe inakuwa ni tatizo la malezi ambalo baba
anakuwa ametoka nalo kwao.Ndio Maana utasikia wanatumia maneno kama “I
don’t Trust You or Wanaume wote ni Waongo” Ukiona maneno haya jua hili
tatizo sio lako,na mara nyingi hapa ugomvi unaweza usiwe wako ila
unakuwa unatumika kama kivuli cha kupunguzi majeraha na maumivu ambayo
yalianza toka mbali.Mara nyingi wanawake wa style hii huchunga boyfriend
zao kama KUKU.
Lakini wasichana wa style hii wakikaa chini na
kuelewa tatizo lao huwa wanakuwa ni watu bora sana kwenye mahusiano na
wanakuwa na uvumilivu ambao unakuwa hauna mwisho na huwa na tumaini
katika kile wanachokiamani.
3.Wasichana waliolelewa kwa Sehemu kubwa na Mama
Msichana wa style hii wanakuwa wamelelewa na upande mmoja yaani
wanaweza kuwa yatima au Mama ndio anaplay big role kwenye malezi na Baba
yupo na yake.Moja ya tatizo walilo nalo ni kutokuwa na picha halisi ya
mwanaume yaani anahandle vitu aa anakuwaje au anaishijie na anaendeshaje
vitu.Sababu baba hakuwepo pale kuregulate tabia na zile athari zilizopo
kwa huyo msichana basi kunatabia zinazoweza kuibuka .Mara nyingi
wasichana wa Style Hii Yaani Kufokea au kumkoromea mwanaume ni jambo la
kawaida na mara nyingi hata mwanaume asipokaa sawa anaweza kupigwa
.Zaidi ya hapo wanawake wa Style hii wanakuwa wivu balaa.
Style hii
ya girls wanapokutana na mwanaume ambaye ni mbabe na anayejielewa huwa
wanatulia na huwa na mafanikio katika maisha yao ya mahusiano na huwa
hudumu kwa muda mrefu na wanapofokewa huwa wapole.
# Katika
Malezi ya Mtoto wa Kike Babaa anakuwa Na Role Kubwa Zaidi kuliko Mama
ingawa wote ni Wazazi .Baba anapo mess up basi jua hiyo fault
itaendelea na itasababisha Conflicts kwa mtoto wa Kike na ni wachache
wanaoweza kujua hizo fault na kuzizibiti.#
“When you date a Girl, You must know that you are dating her Family Also” TD Jakes
ANGALIZO:SIO WOTE WAKO HIVI ILA WENGI WAO HAPA MUJINI WANA HIZI VITU.
#mtazamo.com#
No comments:
Post a Comment