Saturday, September 1, 2012

Tanzia

Katibu wa BAWACHA kata ya Unga Ltd Bi Bertha John amefariki dunia,taratibu za mazishi zinafanyikia nyumbani kwake Unga Ltd.R.I:P Kamanda daima tutakumbuka mchango wako kwenye chama
imetolewa na 
 Bavicha Arusha

No comments:

Post a Comment